Millard Ayo Unayumba

Millard Ayo Unayumba

Anzisha na wewe media ubalance story.
Kisemwacho kipo. Bongo movie badala wafanye kazi zao wanajiingiza kwenye siasa. Angalia sasa wapo wapi? Maneno yako yana ukweli 100% lakini ungekuwa blogger ungejua kitu gani kinazungumziwa. Ukitaka blog au website yako ya habari balance habari yako na usiegemee kwenye upande wowote au acha kupost kabisa. Kama unapost za CCM basi post na vyama vya upinzani au ukiona hauwezi acha kupost.
Kamuulize Marlaw.
 
Millard anajielewa sana ndio maana hausiki na habari za uchochezi,kuhusu kubalance story nahisi umechanganya madesa habari za ccm haziitaji kulinganishwa na habari za upinzani ili ziwe habari.
 
Kisemwacho kipo. Bongo movie badala wafanye kazi zao wanajiingiza kwenye siasa. Angalia sasa wapo wapi? Maneno yako yana ukweli 100% lakini ungekuwa blogger ungejua kitu gani kinazungumziwa. Ukitaka blog au website yako ya habari balance habari yako na usiegemee kwenye upande wowote au acha kupost kabisa. Kama unapost za CCM basi post na vyama vya upinzani au ukiona hauwezi acha kupost.
Kamuulize Marlaw.
Kwani analipwa na vyama vya Siasa..!?

Mnamlipa!?

Mnataka mumuondolee ugali mezani.

Mbona harushi habari za WCB lakin fans wala hatuna shida nae.

Anakuboa mpotezee kimyakimya.
 
Tatizo njaa baba inatubidi tufuate tu maelekezo ili mkono uende kinywani
 
Kwani analipwa na vyama vya Siasa..!?
Mnamlipa!?
Mnataka mumuondolee ugali mezani.
Mbona harushi habari za WCB lakin fans wala hatuna shida nae.
Anakuboa mpotezee kimyakimya.
Unayoongea upo sawa 100%. Halipwi na chama lakini ukumbuke mashabiki wako (Wanaosoma habari) ndiyo wanakulipa. Kadri watu wanavyosoma blog au website yako na kuclick matangazo ndivyo mpunga unavyoongezeka. Hawa wasomaji wako wanachama kwahiyo ukiaanza mambo ya kuigemea katika chama kimoja tayari unaanza kuwagawana wasomaji wako. NAJUA HUWEZI KUNIELEWA 100% KWASABABU UPO KWENYE KUNDI LA WATU AMBAO HAWAJUI HELA INATAFUTWA VIPI MTANDAONI. WEWE UKIINGIA WEBSITE FULANI UNASOMA KISHA UNAONDOKA. USIFIKIRI ALIYEANDIKA HANA KITU CHA KUFANYA. ANAANDIKA ILI APATE PESA. HICHO ULICHOANDIKA NDICHO KIMEMTOKEA MARLAW. JF IMESIMAMA BAADA YA MELO KUTUPILIA MBALI MAMBO YA VYAMA.
POLE SANA
 
Waambie haooo hawajui kwamba sisi ndio tunaowalipa wacha tuu watudharau
 
Kijana alianza vizuri lakini kwa sasa ameanza kuyumba, na endapo akitokea mtu mwingine au media nyingine nzuri anaweza akapotezwa

Millard kwa sasa ameanza mambo ya ubaguzi kwenye media yake, habalance tena habari zake, anapost mikutano ccm lakini habari za upinzani ameacha kupost, jana amepost mkutano wa ccm morogoro lakini kuhusu upinzani ameliruka

Kwa sasa hamna watu wanaofuatiliwa mitandaoni kama kundi la WCB lakini Millard haandiki kabisa habari zao kitu ambacho sio kizuri kwa mwandishi wa habari, ameshindwa kujifunza kwa wasafi media ambao wamekuwa hawana ubaguzi kwenye habari za wasanii na kucheza nyimbo zao

Kijana wetu anatakiwa abadilike la sivyo atajiharibia mwenyewe, sababu kazi ya uandishi haitaki ubaguzi kwenye swala la kureport habari, angalieni TBC baada ya kuacha kubalance habari na kugeuka kuwa tv ya kusifia sasa imepoteza watazamaji kabisa

Millard badilika
Nani kakuambia? Watu wanatazama tu. Wewe ndiye utizami
 
Hoja dhaifu sana, mahaba ya Chama cha kisiasa uliyonayo yamekuathiri!
 
Unayoongea upo sawa 100%. Halipwi na chama lakini ukumbuke mashabiki wako (Wanaosoma habari) ndiyo wanakulipa. Kadri watu wanavyosoma blog au website yako na kuclick matangazo ndivyo mpunga unavyoongezeka. Hawa wasomaji wako wanachama kwahiyo ukiaanza mambo ya kuigemea katika chama kimoja tayari unaanza kuwagawana wasomaji wako. NAJUA HUWEZI KUNIELEWA 100% KWASABABU UPO KWENYE KUNDI LA WATU AMBAO HAWAJUI HELA INATAFUTWA VIPI MTANDAONI. WEWE UKIINGIA WEBSITE FULANI UNASOMA KISHA UNAONDOKA. USIFIKIRI ALIYEANDIKA HANA KITUS CHA KUFANYA. ANAANDIKA ILI APATE PESA. HICHO ULICHOANDIKA NDICHO KIMEMTOKEA MARLAW. JF IMESIMAMA BAADA YA MELO KUTUPILIA MBALI MAMBO YA VYAMA.
POLE SANA
Sisi CHADEMA tunaelewa kwamba kuandika habari za CCM pekee ndio kuna mpa ugali...
Unayoongea upo sawa 100%. Halipwi na chama lakini ukumbuke mashabiki wako (Wanaosoma habari) ndiyo wanakulipa. Kadri watu wanavyosoma blog au website yako na kuclick matangazo ndivyo mpunga unavyoongezeka. Hawa wasomaji wako wanachama kwahiyo ukiaanza mambo ya kuigemea katika chama kimoja tayari unaanza kuwagawana wasomaji wako. NAJUA HUWEZI KUNIELEWA 100% KWASABABU UPO KWENYE KUNDI LA WATU AMBAO HAWAJUI HELA INATAFUTWA VIPI MTANDAONI. WEWE UKIINGIA WEBSITE FULANI UNASOMA KISHA UNAONDOKA. USIFIKIRI ALIYEANDIKA HANA KITU CHA KUFANYA. ANAANDIKA ILI APATE PESA. HICHO ULICHOANDIKA NDICHO KIMEMTOKEA MARLAW. JF IMESIMAMA BAADA YA MELO KUTUPILIA MBALI MAMBO YA VYAMA.
POLE SANA
Msimpotoshe akapoteza Ugali...

Kwanza sidhani hata tangu aanzishe hiyo media amewahi kulipa Kodi.

Msipotoshe mwenzenu arudi sitimbi.

TRA wanamcheki tu.. Siku akileta fyoko tu wanae. Muacheni na lisisiem lake.
 
Sisi CHADEMA tunaelewa kwamba kuandika habari za CCM pekee ndio kuna mpa ugali...
Msimpotoshe akapoteza Ugali...
Kwanza sidhani hata tangu aanzishe hiyo media amewahi kulipa Kodi.
Msipotoshe mwenzenu arudi sitimbi.
TRA wanamcheki tu.. Siku akileta fyoko tu wanae. Muacheni na lisisiem lake.
Najua huwezi kunielewa kwasababu haujui pesa inavyotafutwa mtandaoni. Hapo ulipo hauna blog au website na ni wale watu wanaoamni kuwa MB zinageuka kuwa hela. Kila mtu anachama na siwezi kumlazimisha Ayo apost ninachokitaka mimi. Yeye anajua ni kitu gani anachopost lakini ukumbuke ugali anapewa na wasomaji na hawa wasomaji wanavyama kwahiyo ili uweze kudumu ni vizuri suala la udini, vyama na ukabila ukatupilia mbali. Najua akili yako inavyowaza na najua wewe ni mtu wa aina gani kwasababu akili yako imefungwa na chama na huwezi kutumia akili yako kufikiri bali unatumia hisia na miehemko zaidi.
Pole sana. Siwezi kukushangaa maana hapo ulipo hautumii akili yako na ukiaanza kutumia akili yako mpaka utajishangaa ulichokiandika.
 
Wasomaji wanaomfuatilia wanamtosha. PERIOD
 
Hao wanaomfatilia unawajua? Huyu aliyepost huu uzi ni mojawapo wa watu wanaomfuatilia na tayari kaona kasoro zake ndiyo maana kaja kulalamika humu na siye yeye pekee kuna wengine pia lakini wamemezea na uvumilivu ukiwashinda utaona wanapunguza au kuacha kutembelea. Kwahiyo watu wakipungua ndiyo hela inapungua
KWENYE BLOG AU WEBSITE HUWA HAKUNA NENO "Wasomaji wanaomfuatilia wanamtosha". HILI NENO HUWA HALIPO LABDA KWENYE WATU WENYE AKILI NDOGO KAMA WEWE. MELO MWENYEWE ANATAKA HATA KWASIKU APATE WATEMBELEA TRILION MOJA,
SAWA MKE AYO UMEELEWEKA.
 
Millard ni kivuli cha watu anafanya anachoagizwa kufanya...kama anapata kula yake ye aendelee na anachofanya Tuangalie tusiangalie kama anapata hela ya kutunza familia na kuendesha maisha sidhani kama haya malalamiko atafanya lolote.
 
Back
Top Bottom