Millard Ayo na Meena Ally

Nachagua kukuamini sababu mwisho wa siku niliyaskia kwa wanawake wenu hata siyo wa mkoani, tungesema wanasingiziwa maskiini.!
Vidada vinaguswaguswa tu nawapaka poda wanasingizia wamekutana na wanaume . Siku ukienda tena hapo kawape hii ID .watakuja kukupa stori tofauti kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha umbea cheap πŸ€’πŸ€’πŸ€’
 
Ni Menina au Meena? maana umeongelea watu wawili tafauti.
 
Na hata wanapofanya mapenzi wasisahau kuvaa #barakoa ili wasirushiane vimate mate vyenye covid πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: BAK
Mimi nikiwa dsm sipendi kutembea unless ni asubuhi sana au jioni sababu ya joto yaani dakika mbili unaona vest ishalowa. Unaniweka kundi gani mama ushauri 😊😊
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Wewe jitetee tu mdogo wangu ila naomba suala la kusimamia kucha libaki palepale..!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ umbeya kipaji aisee.
 
Niliona porn movie a month ago watu weusi wote wamevaa barakoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nilicheka sana. Halafu walivyomaliza ME akapretend kukohoa kama mara nne hivi KE akawa anaguna tu mmmmmm huku anamuangalia ME kwa kumkazia macho πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…