Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,943
9,469
Wafanyakazi watafutiwe(mkopo) magari ya bei nafuu waweze kutatua tatizo la usafiri.

Kumiliki gari ni muhimu sio anasa ,tena wafuatilie mpaka wapate majibu kutoka Wizara ya Fedha na TRA kama kuna kodi yenye lengo la kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini kumiliki gari ili waweze kupunguza makali ya maisha.
 


Vipi kamera mmeikuta au imeibiwa? Nalisikia hili swali,ila sijajua nani aliuliza baada ya kupata taarifa ya ajali

Pole sana kwa wanafamilia hasa mke na watoto kama walikuwepo.
 
Ikiwa alikuwa hai hao bodaboda walishindwa kumuaisha Hosptali ?

Nadhani jambo la muhimu la kujifunza ni kuwa na precautions maana kazi ya kupiga picha ni nonstop job .
 
Ukiwa na gari yako ndio huwezi kupata ajali ukafa?
 
Bodaboda guys wanalalamika polisi kutofika kwa wakati eneo la ajali kwa majibu kwamba hawana mafuta,lakini imasemekana dereva mwenzao walimuwahisha hospital.
Ingawa wao hawatakiwi kuthibitisha kifo ila walichosema ni kuwa huyo kijana alikata moto pale pale wakati boda akiugulia maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…