Military police (MP)

mkuu angalia mdomo uliponza kichwa,pamoja na ujuvi wko unaouamini ila kwenye izo 18 weka mbali na watoto,cozmwenyew nimeshuudia timbwili la izo pipo akina kisepa 3 walikaaa.
 
Kuna aina ya mapigo unapopigana na kundi la watu au kuanzia watu wawili kwenda juu,huwa na mapigo ya kuua ukishusha pingo moja mtu anandondoka chini ,ndo hutumika kwenye hayo mapigano,
mkuu angalia mdomo uliponza kichwa,pamoja na ujuvi wko unaouamini ila kwenye izo 18 weka mbali na watoto,cozmwenyew nimeshuudia timbwili la izo pipo akina kisepa 3 walikaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna aina ya mapigo unapopigana na kundi la watu au kuanzia watu wawili kwenda juu,huwa na mapigo ya kuua ukishusha pingo moja mtu anandondoka chini ,ndo hutumika kwenye hayo mapigano,

Sent using Jamii Forums mobile app
Uende ukamisbehave ili wakunyakue upate chanzo cha kupimana nao ubavu ila ukikutana na wanasanga sanga jina lako litakuwa marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kata K jeshini? Lisiwe jambo la aibu tu
 
Siwapendi sana askari hususani wanajeshi ndiyo hulka yangu.Licha ya bidii na majukumu yao katika ulinzi wa wananchi bado sijawahi kuwashobokea.Wanajeshi wana sifa sana tofauti na polisi,wanapenda kudhalilisha,kuonea na kuumiza watu kwa makosa madogo tuu.

Kuna siku moja nilikuwa uwanja wa mpira natazama,nilikuwa nimevaa raba za rangi ya jeshi kumbe walikuwepo baadhi yao wakicheki mpira maeneo yale wakiwa wapo kiraia.Wakaja wawili na kuanza kunihoji kwa ukali ili niogope mbele za watu.Mimi nikawaambia nimenunua dukani kama vp wangeenda kuwachukulia hatua wauzaji na sio sisi wanunuzi.Kujibu hivyo wakapanic eti wakaanza kusema nivue nikagoma mara wakabadilika eti nichuchumae chini ili waanze kunipa adhabu nikagoma.Niliwagomea kwasabu nilishawaona jinsi walivyo ni madogo wa depo wasumbua watu tuu.Kidogo nikaona mmoja kaja kanikunja eti anilazimishe kunitoa nje bila kusita nikajitoa ufahamu nikamkunja yeye nikamgonga ngumi akapepesuka hadi chini,mwenzie kapanic alete vurugu nae nikamdhibiti kwa ngumi za koromeo.kuona ninavyowadhibiti wakaanza kujifanya wanalalamika kuna siku ntaona cha moto eti ngoja wakawaambie wenzao.Mpaka sasa mwaka wa tatu huu,vile vianajeshi nakumbana navyo mtaani vinaniita bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…