Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

Nikiangalia hapo Israel wala hakuitaka ndege hiyo,alitaka tu kujua tecnologi yake na uwezo amuuzie Mmarekani, na ndo mana mwisho alipeleka kule.
Kumbuka Mig-21 zilikua ndege sumbufu sana katika vita miaka hiyo na Mmarekani alikua hakohoi kwa USSR.
 
Hiyo ndege at last muisrael aliwapelekea U.S,ye alitumia kidogo tu then kamuchia Mmarekani so simple logic ni kwamba alitumwa tu
 
Back
Top Bottom