Military Intelligence Coup: Kisa cha rubani aliyeiba na kutoroka na Ndege ya Kijeshi ya Iraq

We unasema hayoo ujui.wewe ni baba unanunua gari mtoto hana viatu wala ada ya shule. Unanunua jet wakati miaka minne mfururizo amna hajira, fikiri kwanza
Umeweka mfano ambao hauna uhalisia wowote ada na viatu vya mtoto same time baba ananunua jet huo ni mfano wa kimuhemko. Bora ungesema baba ada hakuna na viatu then baba anaenda kulewa pombe na wanawake.hapo ingependeza sana.

Anyway,tunapokaa vijiweni kwetu, uwa tunapiga domo sana kuwa ndege tanzania sio muhimu,lakini je tujiulize ni kweli ndege haina umuhimu.serikali kuwa angalau na ndege japo ata tano kwa nchi kiujumla ni jambo la heri,sababu wewe na nduguzo unaona hazina umuhimu lakini ndege kwa uchumi unaokuwa ni muhimu sana. Kama wewe ni masikini hauwezi kumudu ghalama zake kuna wale walio na uchumi wa kati na wajuu watahitaji huduma hiyo wao pia ni watanzania na wanahaki hiyo.
Zisingekuwa na umuhimu basi ungeziona zimepaki hazifanyi kazi.

NB: ushawai kuona fly emirites imetua tabora?
 
Moral ni kuwajali askari na kuimarisha upelelezi Wa ndani na nje.
moral ni dini/kabila/itikadi visipewe kipaumbele kwenye upandishaji wa vyeo.

jamaa alinyanyapaliwa kisa kuwa na historia ua ukristo ndani yake, akachomok na mig 21
 
Back
Top Bottom