Ha ha ha kikinuka kiwango cha Ukraine msisahau kunishtua niwah hapo nmb ilala nikafanye yangu[emoji41][emoji41][emoji41]Wasemgerema sana, mi nilijua kishanuka niwahi v8 moja kabla mambo hayajawa mengi[emoji23]
Jana ndo nimesikia vizuri kumbe naweza itega karibu na nyumba ya x wanguArusha hapa zimelia nikajua wazee wa kazi
Mambo tu ya hovyo..sensa wanaikuza sanaNaomba kujuzwa kipi kipo behind sensa hii, mbona Kama mambo ya ajabu? Kuhesabiwa ni muhimu mbona Kama wana I hype saaaana. Mara fataki n.k
Kuna LC300 inazunguka zunguka sana plate no SU Jana ningekuwa na gun ningeunganisha tukioWasemgerema sana, mi nilijua kishanuka niwahi v8 moja kabla mambo hayajawa mengi😂
Kuna sehemu nilisikia vifaa bado mpaka janaKwangu hao wajinga wakija nawaambia tumelala Gest familia nzima hvyo taarifa zote tumeacha huko.
Wakitaka kutulazimisha labda waseme Kuna namba inabid tuwe nayo japo n too late.
Wanapiga fataki hayo ninatumizi mabaya ya pesa na bado vijana walivyo wazembe hapa tz watakaa chini ya mti na kujaza details zao na mwishoni hzo simu walizowapa watasema wameibiwa pia msisahau uzi utakuja ws kulaumu hawajalipwa pesa zao