milipuko kigamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

milipuko kigamboni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WONDERWOMAN, Aug 6, 2009.

 1. W

  WONDERWOMAN Member

  #1
  Aug 6, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani wana jamvi mu salama,hakukuwa salama kigamboni asubuhi ya leo
  kioski cha kuuza gesi kimelipuka na kuleta kizaazaa.kiosk chenyewe kinaangaliana na petrol station,mungu bariki kituo cha mafuta kimesalimika .milipuko ya miyungi ya gesi kwa hakika ilitisha,sisi tulifikiri mambo ya mbagala
   
 2. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tunamshukuru Mungu kama kuna usalama.
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Poleni wanakigamboni na miundo mbinu dhaifu tuliyonayo pangekuwa patashika,Mungu pishilia mbali majanga haya
   
 4. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ni changamoto kwa mamlaka husika kuweka usalama zaidi katika uuzaji wa gesi ili kukinga milipuko kama ya leo.
   
Loading...