Milipuko 2 yatokea mjini Jos, Nigeria

VIFO VYAONGEZEKA NIGERIA: Mamlaka nchini Nigeria zathibitisha vifo kuongezeka kutoka 40 hadi 118 kufuatia milipuko 2 ya mabomu iliyotokea katika mji wa Jos.
 
Kwakuwa America na Israel wapo eneo la tukio, bila shaka watadhibiti.
 
Nachukia kweli watu wanao ua wenzao kwa mgongo wa dini
 
Nasema tena alshabab lazima wawe creative km bokoharam ili wakenya wakome then wapendane wenyewe kwa wanyewe then wakishamalizana ndo waje wajiunge na sisi kimaendeleo zaidi...sawa lawmania mmerikologa Somalia lazima mlinywe na sio kutaka mataifa mengine yawasaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…