Ndio hapo sasa, Nigeria lazima wapigane nao hadi afe wa mwisho, suluhisho sio kuwaachia nchi maana sera zao ni za kiajabu ajabu. Hiyo ndio taswira hata Somalia, Alshabaab pindi watakapoachiwa nchi basi hata sisimizi hatapata pa kuishi. Jamaa kwa muda kidogo tu walitawala hata bahari hindi.Boko haram hao...
Ndio hapo sasa, Nigeria lazima wapigane nao hadi afe wa mwisho, suluhisho sio kuwaachia nchi maana sera zao ni za kiajabu ajabu. Hiyo ndio taswira hata Somalia, Alshabaab pindi watakapoachiwa nchi basi hata sisimizi hatapata pa kuishi. Jamaa kwa muda kidogo tu walitawala hata bahari hindi.
Sheria ya Mungu hailazimishiwi watu, bali ni kwa kauli ya mtu kwa akili zake mwenyewe na hekima alizopewa na Mungu kuifuata. Sielewi ni sheria zipi hizo zinahusu kuwateka watoto na kuwabaka msituni.maneno yako yakwamba hata sisimizi hatapata pa kuishi. Ni sawa na kusema sheria aliokuamrisha mwenyezimungu uitumie ndio unayoipinga.
Na ukiipinga sheria yake basi umempinga na mola wako.
Kumekucha naona... Nguzo kuu Ya Uislam inafanya kazi.... Boko Haramz.....