Milioni hamsini kila kijiji ziko wapi? Nauliza kwa msisitizo

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,115
4,801
Huwezi kuja kutuomba kura tena wakati ahadi ulizotoa hukutimiza, mi naombeni mniambie mgombea wa Chama cha Mapinduzi alit amka sana kuwa atatoa milioni hamsini kila kijiji sasa hizo hela ziko wapi?

Alikua anatudanganya au? Je? Alikua anatulaghai?

Sisi tunaomba CCM mtuambie hizo hela ziko wapi halafu mtuombe kura tena.
 
Huwezi kuja kutuomba kura tena wakati ahadi ulizotoa hukutimiza, mi naombeni mniambie mgombea wa chama cha mapinduzi alit amka sana kuwa atatoa milioni hamsini kila kijiji sasa hizo hela ziko wapi?

alikua anatudanganya au?
je? alikua anatulaghai?

sisi tunaomba ccm mtuambie hizo hela ziko wapi halafu mtuombe kura tena
Anaewaamini ccm akapimwe akili
 
Ahadi tamu tamu zitarejewa msimu huu wa kampeni , tutaendelea kuziweka kwenye kumbukumbu zetu na hizo ndio kigezo Cha maamuzi yetu oct. 2020.
 
Watumishi, walimu,madaktri, wauguzi etc miaka mitano ni kukandamizwa hakuna ongezeko la mishahara,kupanda madaraja,malimbikizo,wakawekewa asilimia 15 za bodi ya mikopo pasipo kupenda,wakawekewa value retention fee.Halafu et anajiita mtetezi wa wanyonge!!!;; huh!

Watanzania chagueni Lissu mtetezi wa wanyonge kiuhalisia
 
Huwezi kuja kutuomba kura tena wakati ahadi ulizotoa hukutimiza, mi naombeni mniambie mgombea wa chama cha mapinduzi alit amka sana kuwa atatoa milioni hamsini kila kijiji sasa hizo hela ziko wapi?

alikua anatudanganya au?
je? alikua anatulaghai?

sisi tunaomba ccm mtuambie hizo hela ziko wapi halafu mtuombe kura tena
Hilo tu ndo hajafanya ila mengine yote alioahid kafanya, yoote
 
Watumishi, walimu,madaktri, wauguzi etc miaka mitano ni kukandamizwa hakuna ongezeko la mishahara,kupanda madaraja,malimbikizo,wakawekewa asilimia 15 za bodi ya mikopo pasipo kupenda,wakawekewa value retention fee.Halafu et anajiita mtetezi wa wanyonge!!!;; huh!

Watanzania chagueni Lissu mtetezi wa wanyonge kiuhalisia
Huyo lissu mnajidanganya, ndo yule anaepinga kila kitu kwa maneno ya kuwa haimfaidish mwananchi, kwan kuna kinachomfaidisha kila mtu???

Lissu ni Pappet sana kwa maono yangu, ndo maana alikuwa anatetea Accasia
 
Magu anadaiwa vitu vingi ajabu embu angalia list hapo chini, bado matrilioni aliyokopa nje kununua madege ambayo yamepaki viwanjani. Akamatwe October na kuswekwa rumande.
 
Huwezi kuja kutuomba kura tena wakati ahadi ulizotoa hukutimiza, mi naombeni mniambie mgombea wa chama cha mapinduzi alit amka sana kuwa atatoa milioni hamsini kila kijiji sasa hizo hela ziko wapi?

alikua anatudanganya au?
je? alikua anatulaghai?

sisi tunaomba ccm mtuambie hizo hela ziko wapi halafu mtuombe kura tena
Huwa siyo wakweli,hawana hizi fedha Bali walikuwa wanatongoza kupata kura.Wanadai wamezileta kupitia miradi ya maendeleo,je,huko kijijini kwenu pamejengwa/mradi upi wamekifanyia Kijiji chenu?
Mimi nadhani hawana fedha na sasa watakuja na visingizio kuwa wapinzani na mabeberu hawakuwaunga mkono juhudi zao.Akili za CCM Mpya wanazifahamu wenyewe.Hawanaga soni kuongopea Watanzania.
 
Huwezi kuja kutuomba kura tena wakati ahadi ulizotoa hukutimiza, mi naombeni mniambie mgombea wa Chama cha Mapinduzi alit amka sana kuwa atatoa milioni hamsini kila kijiji sasa hizo hela ziko wapi?

Alikua anatudanganya au? Je?,alikua anatulaghai?

Sisi tunaomba CCM mtuambie hizo hela ziko wapi halafu mtuombe kura tena.
ziko kwenye vijiji kwani vp?
 
Kama kijijini chenu kina watu elfu 3 Mil 50 itawasaidia nini? Na kipi bora kujengewa Zahanatini au mil 50 kwa watu elfu 4?
 
Back
Top Bottom