husika na kichwa cha habari, nipo Mwanza tafuta Vitz bei Mwisho 3.5, itapungua kutokana na hali yake, iwe piston 4 na haina madeni, muuzaji awe mmiliki, ukiwa nayo nipm au weka namba ya simu nitakupigia, biashara ni straight foward sitaki maneno mengi. Sitojibu mtu zaidi ya mwenye mali kwenye hii post. Natanguliza shukran wakuu.
3.5M sio hela mbona unadharau acha hizo bana so fresh!ungekuwa na hela wewe tungekoma, mikwara miingi afu hela huna, absurd
3.5M sio hela mbona unadharau acha hizo bana so fresh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ungekuwa na hela wewe tungekoma, mikwara miingi afu hela huna, absurd
Umeona haswaaaungekuwa na hela wewe tungekoma, mikwara miingi afu hela huna, absurd
Acheni noma bana!M 3.5 nayo ni hela hiyo.......?
Pls kaka samahani hivi nini kilishusha thamani ya GX100?Unavyoziona ndogo unadhani bei yake ni ndogo pia? Kwa bei hiyo tafuta GX 100 tena unaweza pata pungufu ila sio vitz
Gharama za Mafuta. Vijana wa mjini wamelipa jina na kuliita ‘ Jini 'Pls kaka samahani hivi nini kilishusha thamani ya GX100?
GX 100 ni gari kali sana ila tatizo lake watu walizipakazia kuwa zinakula sana wese so wakaziharibia sokoni. Ila zile gari ziko vizuri sana haswa ukiipata nzima na hazina matatizo ya ovyo ovyo.Pls kaka samahani hivi nini kilishusha thamani ya GX100?
Chukua colola