Saa kumi na moja
Member
- Nov 8, 2017
- 65
- 65
Habari mwanaJf....
Ipo hivi ili ushinde milioni 200 za jackpot betpawa ni lazima utumie Bilioni 12,914,016,300
Na ili upate milioni 10 lazima utumie milioni 159,432,300
Ipo hivyo maana yake ni
3^17 = 129,140,163 hii ni idadi ya machaguo unatakiwa ufanye ili upate tokeo moja correct kwa pick 17
3^13 = 1,594,323 hii ni idadi ya machaguo unatakiwa ufanye ili upate tokeo moja correct kwa pick 13
Ukiangalia hapo gharama utakazotumia kupata kwa kila moja zidisha kwa Tsh 100
Ambapo utapata Bilioni 12.914 kwa pick 17 na milioni 159.432 kwa pick 13
Chaguo ni lako uendelee kubet au uache