Milio ya "risasi" kinondoni - tujuzeni wadau

Milio ya "risasi" kinondoni - tujuzeni wadau

na mimi nitakaposherehekea uhuru wa NCHI YANGU kwa fujo na bila taarifa kwa WANAJAMII HUSIKA tusitafutane. Kuomba kibali Polisi pekee haitoshi, wanaoathirika ni wanajamii.
 
Jamani sio Mabomu tuko hapa USA Embassy tunaazimisha uhuru hizo ni Fataki

Hivi kwanini msitoe taarifa mapema kama mlipanga kutumia fataki? watu bado wanakumbuka Gongo la Mboto.
 
Ila wengine wanasema ni wamarekani wanashehrekea kwa timu yao kupita makundi
 
Wana Jamii Forums,

Kuna milio (nafikiri) ya risasi inarindima sasa hivi maeneo ya Kinondoni. Tujuzeni mnaojua kinachoendelea tafadhali.

baruti hizo ..mambo ya ubalozi wa marekani hayo ndugu....wazee wetu wenye pressure majumbani wanazidi kuteswa na mistuko ya moyo
 
Mir Biko kibamba milipuko hiyo niliisikia mpaka nyumba ikatikisika
 
Tujuzen basi nn kinaendelea maana wengine wanadai lugalo mara ubaloz wa marekan milipuko inakotoka ni wapi?


Sent from my iphone using jamii forum
 
Back
Top Bottom