dexterous JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,037 Reaction score 3,149 Jun 26, 2014 #61 Sasa kila mtu anauliza nn hku kajifungia ndani si muendo huko mnaposikia milipuko
Chebe17 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 275 Reaction score 67 Jun 26, 2014 #62 Kaka said: Wana Jamii Forums, Kuna milio (nafikiri) ya risasi inarindima sasa hivi maeneo ya Kinondoni. Tujuzeni mnaojua kinachoendelea tafadhali. Click to expand... Nadhani ni mitaa ya ubalozi wa marekani wanarusha mafataki
Kaka said: Wana Jamii Forums, Kuna milio (nafikiri) ya risasi inarindima sasa hivi maeneo ya Kinondoni. Tujuzeni mnaojua kinachoendelea tafadhali. Click to expand... Nadhani ni mitaa ya ubalozi wa marekani wanarusha mafataki