Milio ya "risasi" kinondoni - tujuzeni wadau

Milio ya "risasi" kinondoni - tujuzeni wadau

Umeme umekatika dakika kadhaa baadae isije kuwa tanesco inawaka moto
 
Hata me nipo knyama zimenifanya niende kulala hasa lile la mwisho kama bomu
 
Mnatufanya tunashdwa kulala wengne tunaish karbu na makambi,tukafkir yambagala kimesanuka tena!
 
Mbona mwatuchanganya wengine wanasema milipuko iko kibamba
 
M23 waiteka state house ya JK.
Ni kweli wadau ?au nimelishwa kasa ?
 
Jamani sio Mabomu tuko hapa USA Embassy tunaazimisha uhuru hizo ni Fataki

Kwani ubalozi upo Kibamba? Milipuko iliyotokea huku Kibamba na Kiluvya ni tofauti na hiyo unayoongelea wewe.
 
Back
Top Bottom