Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 484
- 492
Habari wanajukwaa!
Hivi karibun kumekua na milio ya risasi jijini Arusha mida ya saa tatu usiku.
Hii ni takribani Mara ya tatu kwa milio hii ya silaha za kivita kusikika.
Kutokana na milio hiyo kuna kitu viwili aidha mazoezi ya wanajeshi vikosini hali inayopelekea sauti ya risasi kusikika town kwa kua hali ya anga usiku inakua imetulia.
Au kuna uwezekano yakawa in majibizano ya risasi kati ya vikosi vyetu na wahalifu.
Hadi sasa hakuna taarifa yoyote kuhusu milio hiyo ambayo inatufanya tulale tukiwa tumekumbatia rozari na Biblia.
Nadhan jeshi la polisi litatolea ufafanuzi jambo hilo ili kusije kutengenezwa taarifa za uongo zitakazohatarisha soko la utalii hapa town.
Mfano mzuri ni siku ya jana tarehe 7 novemba 2018 ambapo milio hiyo imechukua takribani masaa mawili.
Nawasilisha