Milio ya Fataki Kawe/Lugalo

Milio ya Fataki Kawe/Lugalo

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,517
Kuna mfululizo wa milio ya fataki Maeneo ya Kawe karibu na kambi ya Jeshi almost dakika 20mpaka sasa. Na pia kama milipuko kama ya mzinga
 
Yawezekana ni Gongo la mboto Part II.... Ee Mungu epushia mbali...
 
Hahahaha! Ni Fataki mkuu easy

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Isije kuwa majanga mengine, maana machozi niliyotoa kwa Makinda na Ndugai kushusha hadhi ya bunge imetosha!
 
sasa hivi naona kama imetulia...wengine tulikuwa tumeshaanza kutoka nje kwa hofu ya milipuko...
 
Ni fataki kuna sherehe hapa jirani yangu Mediterreniano hotel, muwe na amani sio milipiko na hivi sasa imeshaisha
 
Ni fataki kuna sherehe hapa jirani yangu Mediterreniano hotel, muwe na amani sio milipiko na hivi sasa imeshaisha

Hivi kwani hakuna utaratibu wa majirani kutaarifiwa kama kuna mambo ya kustua yatakayojiri kukiwa na shughuli za wenye uwezo wa kufurahi hadi kufatakisha?

Kuna watu wana magonjwa yao ambayo hata ukimpigia chafya ghafla sikioni anazimia; sembuse FATAKI? Hata kama manispaa zetu hazina sheria hiyo, kwa ustaarabu tuu, kumbi zinazoaandaa shughuli zenye matumizi ya hii milipuko wawe wanatoa taarifa kwa jamii jirani-kupunguza hofu zisizokuwa na sababu!
 
Hahahaha!! Mkuu unanifurahisha sana, utaratibu wa majirani kufanyaje? Kutaarifiwa?? Au nimekunasa vibaya mkuu??? Hii ya tatu mkuu, umesahau? Aaah mkuuuu, una matumaini mema sana na nchi yako, tunataka watu kama nyie mkuu.. Safi, ipo siku tutapewa taarifa kabla ya kufatakisha mkuu. Tuzidi kumuomba Mungu.
 
Mkuu pole hiyo ni zile ahadi za jk ni waru wanakul bata hapa jiran yangu mediterenian hotel haahaa kumbuka ahadi ya mzee sio wenye shda tu na raha kama hizi
 
Walichofanya badala ya kupiga mizinga husika alipigiwa fataki nzito 21 kumheshimu na kumpongeza so na wewe unaruhusiwa sikumoja kupiga 42
 
Hivi kwani hakuna utaratibu wa majirani kutaarifiwa kama kuna mambo ya kustua yatakayojiri kukiwa na shughuli za wenye uwezo wa kufurahi hadi kufatakisha?

Kuna watu wana magonjwa yao ambayo hata ukimpigia chafya ghafla sikioni anazimia; sembuse FATAKI? Hata kama manispaa zetu hazina sheria hiyo, kwa ustaarabu tuu, kumbi zinazoaandaa shughuli zenye matumizi ya hii milipuko wawe wanatoa taarifa kwa jamii jirani-kupunguza hofu zisizokuwa na sababu!

Ilitangazwa sana leo Clouds FM

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kumbe kambini!hko hakuna shida mkuu ndo sehemu yake kulipukia na kama umejenga krb yao unatakiwa kuzoea c hadi wakutaarifu ni kama hospital na harufu ya dawa!!
 
Back
Top Bottom