Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,716
Yaan naelekea mwezi wa 2 nahangaika nao wameniambia wamesitisha kutoa namba zikizokosewa sijui kisa corona!Waambie nida wakurekebishie inawezekana na ukasajiri kampuni kwa Namba tu hata kabla hawajakupa kitambulisho.
Na niliwaomba mno!