Miliki kampuni yako kirahisi

Miliki kampuni yako kirahisi

geezojeezo

Member
Joined
Dec 9, 2019
Posts
37
Reaction score
43
Kampuni ni Kampuni; Kunazo faida kibao za kumiliki Kampuni.

Usipate taabu sana Tutakufanyia kazi yako kiurahisi, ni ndani ya masaa ama siku ama wiki tu kampuni itaanza kukuingiza pesa. Inategemea na aina ya kampuni.

Tumebobea ktk hili; wengi wame sajiri bado wewe;

Wasiliana nasi kwa
SIMU 0788104228
WATSUP 0652411402

USHAURI NI BURE
Huduma nyinginezo ni pamoja na
- Kuandaa Hesabu za Kampuni
- Kuandaa Memorandum
- kuandaa Tenda documents
FB_IMG_1577116568496.jpeg
 
Bila NIDA ni ngumu,
Nipigie nikushauri zaidi kama huna NIDA
 
Gharama za kufungua kampuni ni kiasi gani.

Kuendesha na kodi zake za mwakaa.
 
Gharama zinategemea na aina ya kampuni, kiongozi. Kuendesha kampuni pia inategemea na kazi; ukubwa wa kampuni; n.k.
Unicheki itapendeza
Gharama za kufungua kampunii ni kiasii ganii.

Kuendesha na kodi zake za mwakaa.
 
Back
Top Bottom