CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
- Thread starter
- #61
Husninyo bana.......haya
mwenzio hivyo siwezi kutembelea.
View attachment 37946
Leo nimepiga cha chini chini
Hiki jee?
hivi nahisi vinanuka flani vile...
Ha ha haaa.......viatu si lazima utembeleee hata kwa mtumizi ya ndani kwa ndani pia!
Nachizika sana na viatu wakuu......hebu tupeane ilmu juu ya viatu gani ni bomba......NALIANZISHA
Weee hivi viatu sivai hata iweje!