joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,401
- 41,524
Thamani always ni directly proportional to the views ,ukipiga hesabu zinakataa.Hawaangalii nyimbo umetoa lini bali una total views ngapi.ndio, Diamond mara ya mwsho katoa nyimbo n lini?? Rayvany?? huna kitu kipya watu wanaenda kuangalia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu naona umevurugwa na matokeo ya Mnyama huko kwa WanaParuhengo
MKuuu Hiyo sio total kuwa mwelewa aiseee hayo ni mahesabu ya siku mwezi sio total aliyopata600 views Millard $4m,Diamond 512 m views $2.6 m,why ?,Rayvany 129 m views $2.8m mmmh,Sijui umetumia kikokoto gani au link ya uongo manake Mathematicaly ina prove wewe na hiyo link wote waongo au karudie hesabu zile za shamba mf watu 10 hulima shamba kwa siku 4 je watu 9 watalima kwa siku ngapi,simple fanya milard 600 m views thamani $4m,Diamond 512m views ,thamani yake itakuwa ngapi una cross matapu tapu utapata jibu.
MKuuu Hiyo sio total kuwa mwelewa aiseee hayo ni mahesabu ya siku mwezi sio total aliyopata
na hiyo views ni total ya walioangalia
kagoogle kikokotoo unachokijua tuetee hesabu ya tofauti hapa
kwa hoyo huyo rayvan anamzidi diamond mapato ya youtube,hata darasa la 7 bashite hawezi kubali taarifa kama hii
Kabisa mkuuna hayo youtube kama wangekuwa wanatoa pesa kiasi hicho duniani kote wangekuwa wamisha filisika
Ndio hivyo Basi watu wasingefanya hilo mkuu ila ninachojua nikwamba mtu wa marekani aakiangalia video yako na mtu wa tanzania akiangalia kuna rate tofauti tofauti za malipoYoutube hawana kikokoto ambacho kipo fixed,bali thamani itagemea acc ya mtu ina umaarufu gani na nguvu ya kutrend sehemu tofauti tofauti za dunia so unaweza ukawa na Youtube acc lakini usitegemee Diamond akalipwa sawa na Drake per views sababu watu wawili tofauti ambao wana level tofauti za umaarufu (Drake anajulikana sana sehemu nyingi duniani kuliko Mondi),sawa na Diamond na Millard ni watu tofauti katika level za umaarufu na ndio maana tangazo litakalo kaa kwa Mondi litachajiwa tofauti na tangazo litakalokaa kwa Millard.
"mahesabu ya siku mwezi sio total aliyopata" sijakuelewa hapa una maanisha nini?
Kama
Ndio hivyo Basi watu wasingefanya hilo mkuu ila ninachojua nikwamba mtu wa marekani aakiangalia video yako na mtu wa tanzania akiangalia kuna rate tofauti tofauti za malipo
but haujajua hayo mambo napigisha kelele na mtu ambaye sio ulimwengu wake
Umeona wapi wametoa hizo pesa?Usikariri kijana.
Jiulize mpaka watoe hizo hela wao wameingiza ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu kama hv uwe unawabandikia mabektatu.....itapendeza sana usitubandikie sisi walipa kodi
😀😀Mungu asaidie wasiumwe!!......utasikia wanatembeza mabakuli!!!.....danganyeni maboya wenzenu!
Ngoja kwanza dollar imefikia ngapi hadi mda huu wakuu?
We ulitaka aambulie ngapi ??hapo utakuta ray vanny kaambulia milioni 70
Hizi ni Takwimu za kuchek kupitia mitandao ambayo inakisia! But kiukweli haiko ivyo!