Milard Ayo anatisha aisee.

Milard Ayo anatisha aisee.

600 views Millard $4m,Diamond 512 m views $2.6 m,why ?,Rayvany 129 m views $2.8m mmmh,Sijui umetumia kikokoto gani au link ya uongo manake Mathematicaly ina prove wewe na hiyo link wote waongo au karudie hesabu zile za shamba mf watu 10 hulima shamba kwa siku 4 je watu 9 watalima kwa siku ngapi,simple fanya milard 600 m views thamani $4m,Diamond 512m views ,thamani yake itakuwa ngapi una cross matapu tapu utapata jibu.
Nilitaka kushangaa,hiyo source ina walakini
 
kama utajiri wote wa mondi hata $ M.6 hajafikisha lkn kelele nyingi sana mjini. arafu leo hii ayo awe na $ M.4 kwa YouTube pekee, arafu akubali kuajiliwa CMG. mtoa mada angalia icje ikawa taarifa yako ina matango pori..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
600 views Millard $4m,Diamond 512 m views $2.6 m,why ?,Rayvany 129 m views $2.8m mmmh,Sijui umetumia kikokoto gani au link ya uongo manake Mathematicaly ina prove wewe na hiyo link wote waongo au karudie hesabu zile za shamba mf watu 10 hulima shamba kwa siku 4 je watu 9 watalima kwa siku ngapi,simple fanya milard 600 m views thamani $4m,Diamond 512m views ,thamani yake itakuwa ngapi una cross matapu tapu utapata jibu.
JF kiboko ya waongo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom