KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,329
Mlaji Umekula
Mkuuu naona umevurugwa na matokeo ya Mnyama huko kwa WanaParuhengo
Hizo hela za kwenye makaratasiYaani Ayo awe na ukwasi wa Tshs 9.6 billions! Na mashaka na hii taarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri kijana.na hayo youtube kama wangekuwa wanatoa pesa kiasi hicho duniani kote wangekuwa wamisha filisika
Ray 2.8 mond 2.6, shughulisha akili yako. Source sio reliable.
ndio, Diamond mara ya mwsho katoa nyimbo n lini?? Rayvany?? huna kitu kipya watu wanaenda kuangalia nini?yaan kwamba vanny boy anamzidi boss wake !?
600 views Millard $4m,Diamond 512 m views $2.6 m,why ?,Rayvany 129 m views $2.8m mmmh,Sijui umetumia kikokoto gani au link ya uongo manake Mathematicaly ina prove wewe na hiyo link wote waongo au karudie hesabu zile za shamba mf watu 10 hulima shamba kwa siku 4 je watu 9 watalima kwa siku ngapi,simple fanya milard 600 m views thamani $4m,Diamond 512m views ,thamani yake itakuwa ngapi una cross matapu tapu utapata jibu.