Milango ya Mninga na Mkongo

Milango ya Mninga na Mkongo

Kwa sababu haipo mingi sana kwa hiyo huwezi kutengeneza milango say 13 ukaweka design tofauti, what if mteja mmoja akahitaji minane au kumi? Sidhani kama inapendeza kuweka milango tofauti katika nyumba moja.
 
Kwa sababu wewe ni muuzaji na mtengenezaji ulitakiwa uweke design zote na bei zake
 
Production has not been large enough to have different designs and maintain enough numbers for each design.
 
Picha ni hizi
 
Attachments

  • 1443176755211.jpg
    1443176755211.jpg
    69.6 KB · Views: 534
  • 1443176790082.jpg
    1443176790082.jpg
    75.1 KB · Views: 443
Mkuu bado unatengeneza milango ya mninga?
If yes nakupm namba unitumie design ulizonazo na bei whatsapp
 
Kuna style flani pale keko inaitwa kamongo. Ni mbao nene kama za frem zinaunganishwa na kuchorwa urembo
 
Ni hiyo
 
Attachments

  • 1457598278300.jpg
    1457598278300.jpg
    55.4 KB · Views: 181
Hiyo
 
Attachments

  • 1457598321969.jpg
    1457598321969.jpg
    55.4 KB · Views: 139
U dont have to coment on every thread. U may skip others, nerd!
 
Back
Top Bottom