TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,111 Reaction score 4,002 Jul 12, 2019 #1 lazima iwe na hii 'peepholes kwa ajili ya ulinzi na chain huku uswailini kwetu ukiweka mlango wa stail hii utaitwa Mchoyo bureeeeeeeee
lazima iwe na hii 'peepholes kwa ajili ya ulinzi na chain huku uswailini kwetu ukiweka mlango wa stail hii utaitwa Mchoyo bureeeeeeeee
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,492 Reaction score 145,840 Jul 12, 2019 #2 TIASSA said: lazima iwe na hii 'peepholes kwa ajili ya ulinzi View attachment 1151930 View attachment 1151932 na chain View attachment 1151943 huku uswailini kwetu ukiweka mlango wa stail hii utaitwa Mchoyo bureeeeeeeee Click to expand... Siku hizi hivyo vi peepholes vinakuwa ni vi camera pia. Na vinaweza kurusha footage moja kwa moja kwenye simu yako!
TIASSA said: lazima iwe na hii 'peepholes kwa ajili ya ulinzi View attachment 1151930 View attachment 1151932 na chain View attachment 1151943 huku uswailini kwetu ukiweka mlango wa stail hii utaitwa Mchoyo bureeeeeeeee Click to expand... Siku hizi hivyo vi peepholes vinakuwa ni vi camera pia. Na vinaweza kurusha footage moja kwa moja kwenye simu yako!
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,111 Reaction score 4,002 Jul 12, 2019 Thread starter #3 Nyani Ngabu said: Siku hizi hivyo vi peepholes vinakuwa ni vi camera pia. Na vinaweza kurusha footage moja kwa moja kwenye simu yako! Click to expand... imekaa vizuri sana hiyo
Nyani Ngabu said: Siku hizi hivyo vi peepholes vinakuwa ni vi camera pia. Na vinaweza kurusha footage moja kwa moja kwenye simu yako! Click to expand... imekaa vizuri sana hiyo
Gonzalo Miguel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 850 Reaction score 661 Jul 13, 2019 #4 Bongoland vnapatikana au ndo bei ileile 1M na kuendelea
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,623 Jul 13, 2019 #5 Gonzalo Miguel said: Bongoland vnapatikana au ndo bei ileile 1M na kuendelea Click to expand... Duuh 1m watamudu wachache maana wengine bajet ya mlango haizidi 200k
Gonzalo Miguel said: Bongoland vnapatikana au ndo bei ileile 1M na kuendelea Click to expand... Duuh 1m watamudu wachache maana wengine bajet ya mlango haizidi 200k
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,548 Reaction score 4,487 Jul 13, 2019 #6 Vipo ila si og Kama vya enzi zetu tukiwa vijana 70's
Gonzalo Miguel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 850 Reaction score 661 Jul 13, 2019 #7 kidadari said: Duuh 1m watamudu wachache maana wengine bajet ya mlango haizidi 200k Click to expand... Daa! kadude kenyew unakuta ata lak hakafik...ila kisa kanatumika sana USA bc kwetu kanapanda dau
kidadari said: Duuh 1m watamudu wachache maana wengine bajet ya mlango haizidi 200k Click to expand... Daa! kadude kenyew unakuta ata lak hakafik...ila kisa kanatumika sana USA bc kwetu kanapanda dau
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,623 Jul 13, 2019 #8 Gonzalo Miguel said: Daa! kadude kenyew unakuta ata lak hakafik...ila kisa kanatumika sana USA bc kwetu kanapanda dau Click to expand... Ndo shida hapo unaambiwa unaoewa na fundi wa kukifunga!
Gonzalo Miguel said: Daa! kadude kenyew unakuta ata lak hakafik...ila kisa kanatumika sana USA bc kwetu kanapanda dau Click to expand... Ndo shida hapo unaambiwa unaoewa na fundi wa kukifunga!
Gonzalo Miguel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 850 Reaction score 661 Jul 13, 2019 #9 kidadari said: Ndo shida hapo unaambiwa unaoewa na fundi wa kukifunga! Click to expand... kwel bongo nyoso
kidadari said: Ndo shida hapo unaambiwa unaoewa na fundi wa kukifunga! Click to expand... kwel bongo nyoso