Milango iliyotengenezwa katika ubora upendao..

Milango iliyotengenezwa katika ubora upendao..

Joined
Mar 27, 2019
Posts
8
Reaction score
0
64Door Tanzania Limited inatoa huduma sanifu, kutengeneza, kusambaza na kufunga milango pamoja na viambatanishi vyake kama urembo na vitasa, vyote sehemu moja na kwa urahisi zaidi. Kiwanda cha 64Door kimeanzishwa ili kukidhi mahitaji ya wateja wetu kuanzia kuagiza na kulipa kwa urahisi hadi kupokea na kufungiwa mlango wako site
Kwa nini 64Door seti?
1) Kuokoa muda
2)Kupunguza gharama
3)Ubora wa uhakika
Hivyo basi, bei zetu ni nafuu na zinamkidhi mtanzania yeyote anayejenga ama kukarabati nyumba yake kwa muonekano wa kisasa.
Bei huanzia TZS 400,000/= hadi 943,000/=, ambapo utapata; fremu, mlango, kitasa, bawaba, usafirishaji hadi site na kufungua mlango kwenye nyumba yako.
Wasiliana nasi kupitia namba ya simu; 0677 888855 ama kwa barua pepe; info.tz@64door.com
Noce Lueca.jpg
Oregon Pine.jpg
Marbella.jpg
Wenge.jpg
Oak.jpg
Cherry.jpg
Walnut.jpg
Pure Sierra.jpg
Pure Delta.jpg
Pure line Plain.jpg
Dark Lady.jpg
 
Hivi ku-install frame za hii milango, huwa mnatindua ukuta au mnaweka vipi!?
 
Hivi ku-install frame za hii milango, huwa mnatindua ukuta au mnaweka vipi!?
Tunaweka kulingana na standard measurements za mlango, how; urefu ni 210cm or 240cm (Hii ina vent) na upana wa mlango ni 80cm,90cm na 100cm
So kutindua ukuta? Hapana! Tunafika na kupima size ya mlango wako ili kuweza kupata actual measurements na huwa tunaweka mlango utakapokuwa umemaliza kila kitu katika nyumba.
 
Hongereni kwa kazi nzuri.

Mnatumia mbao gani kutengeneza hiyo milango?

Na kama nikataka vitasa specific mnaviweka?
Asante sana mkuu.

Tunatumia mbao kutoka mti wa Pine au Cypress

Ndio, tunafanya hiyo kazi; tukachohitaji ni sample ya kitasa ukipendacho nasi tutakiweka..
 
Hongereni kwa kazi nzuri.

Mnatumia mbao gani kutengeneza hiyo milango?

Na kama nikataka vitasa specific mnaviweka?
Asante sana mkuu.

Tunatumia mbao kutoka mti wa Pine au Cypress

Ndio, tunafanya hiyo kazi; tukachohitaji ni sample ya kitasa ukipendacho nasi tutakiweka..[/QUOTE]Cypress!? Hiyo mkuu ukipiga ngumi mlango si unakuwa vipande vipande tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei zenu zinajumuisha frem, kama nilishaweka frem yangu bei ya milango na hivyo vingine inakuwaje?
 
Bei zenu zinajumuisha frem, kama nilishaweka frem yangu bei ya milango na hivyo vingine inakuwaje?
Ndio zinajumuisha fremu na mpaka kukufungia mlango nyumbani kwako.

Tutakuuzia mlango tu na pia bei itapungua mkuu.
 
Back
Top Bottom