Milambo high school alumni

Milambo high school alumni

milambo na boys ni vitu viwili tofauti. Kwanza angalia nature ya selection. boys ni vichwa wanajitambua kwa nini wameenda shule so lzm wawe wastaarabu na wafanye kile kilichowapeleka. sasa wenzangu na mie wala mboo kwnda shule wamelazimishwa zaidi ya vurugu ili warudi kwao kwa kisingizio cha kufukuzwa shule watafanya nini? Boys is quite excellent guys.

hahah mkuu ukisema hvo unakosea mana kama msuli tulikua tunapiga kama kawaida na umafia tunaufanya tabora boys wanajua msuli ndo kila kitu hata hawajui life la nje linaendaje proud to be mlambo
 
Dah! Milambo shule yangu naipendaaa..!
EGM 2002-2004!

Sikazwe, Zoma, Majubwa, Sotambele etc. Maneno muuza mihogo nje ya geti kuu la kuingilia shuleni.

Chemchemi wali wa Tsh. 100!
Twisheni 'town school' kuanzia saa nane mchana!

Shule ina uhuru kama chuo! Go anywhere anytime as long as you are in uniforms!

Students Center, Library ya Mkoa, Uhazili, Kazima, Uyui etc

Cheyo A&B, Mtaa wa Rufita, Barabara ya Mwanza, Ulyankulu. Mwinyi, Bwawa la Igombe, Kitete etc!

Dah, Milambo imenifanya nipafahamu pote humo!

Viva Milambo!
 
  • Thanks
Reactions: Bob
Kumbe wadau wa Milambo mpooo!!! Kuna mdau nimemsoma kuwa alikuwa EGM 2007 ni nani huyo? Maana mimi mwenyewe nilikuwa EGM mwaka huohuo nilikuwa EGM FORM V.
Maana nakumbuka kale kabango kaliko aandikwa DH kuwa "MILAMBO IS THE TOP OF THE TOPS". Nilikuwa bweni la Sokoine, Milembe moja.

oyaa! room langu hilo umelitaja hapo sokoine mimi ni yule mzee wa maktaba PCB man from DSM, wewe ni nani?
 
zito pcm unakmbka tulienda chemchem kwenye harusi 2kakamatwa na polisi 2kawapa 2000 yamungu akaanza kulia
 
Daaahhh...

katika hatua zangu zote za elimu nilizo pitia, kamwe sitosahau milambo,

Ilikuwa mwaka 2007 nilipo kwenda kuripoti kidato cha tano (EGM).. kiukweli kipindi hicho shule ilikuwa imechafuka kwa vurugu, nakumbuka usiku ule nilio ripitiwa, kuna jamaa walipigana chupa za shingoni, daahh dizain kama walikuwa wana chinjana, ww acha tu ile shule nadhani ilikuwa na laana, sio bure!!

Kubwa zaidi sitosahau ule mgomo wa 2008, ilikuwa ni balaa...

YAPO MENGI YA KUKUMBUKWA, ila asante mungu, licha ya changamoto zote hizo, bado Tulifanikiwa kufanya vizuri sana kitaaluma..!!

MILAMBO NDIO CAMP AMBAYO IMENIFUNZA MENGI SANA, PENGINE KULIKO HATA VYUO VYOTE NILIVYO PITIA..!!
Sisi tulikuwa pale miaka ya 70. Wanasheria na watawala wengi wazoefu hapa nchini walipitia hapo. Combinations za A level zilikuwa mbili tu za HKF na HKL.
 
Sisi tulikuwa pale miaka ya 70. Wanasheria na watawala wengi wazoefu hapa nchini walipitia hapo. Combinations za A level zilikuwa mbili tu za HKF na HKL.

Umenikumbusha,enzi za ngema,nyali kwenda BIKS(Bukoba International Kenge Supply)kule Mitaa ya ngomasakasi,Bachu(le msoin noir-black house)Boys na Warswa walikuwa wakiitwa visamvu.Enzi za momba nk.Kiboko ya Milambo alikuwa Anthony Msemakweli.Huyu ticha alileta wanafunzi wengi sana toka KG,Kwa wingi wao tukawapa jina'WAKOREA'Ila ni shule nzuri sana,wakati huo mabweni yalikuwa Rugambwa,Kennedy na Nyerere.Enzi hizo za gari la shule lilikuja kwa msaada wa Norway(Norad)Kwa sasa ni bovu limepack hapo mbele ya shule,We acha tu(1979-1982)
 
Mi naona mnapiga domo tu, hata picha moja hamna na sisi tuione shule yenu nzuri?
 
Back
Top Bottom