Milambo high school alumni

Milambo high school alumni

Kila idara unamaanisha nini.

Kila idara namaanisha kuwa kitabu tunasukuma na kufaulu kuliko nyie, michezo tunawafunga pia .
Mie nakumbuka tumeshawahi kuwafunga pale uhaziri na mkatupiga kwa mawe,pia uwanja wa mwinyi tuliwafunga mpaka ffu ndo wakaja kutupeleka shuleni.

Yanin nyie ubabe na fujo ndo mnatuzidi.
Cjui miaka hii kama imechange milambo
 
Haahaaaah, nakumbuka katika maharagwe ya shule kulikuwa na wadudu weupe tulikuwa tunawaita waboizia.

Halafu elezea kisa cha kupigwa, kisa hakikuwa disco na girls. Heeheehe

Ila kwenye kimbembe mwinyi mlikuwaga wanyonge sana.
hahaha Mwanaume hawezi kubeba mavi umbali wa kilomita kama kumi hivi kwenda kupaka visichana tu kisa kazidiwa ujanja na wanaume wenzie.

wale wadudu wa kwenye maharage funza funza wale na sisi tulikuwa tunawaita walambo. kuna mpiga picha mmoja tall hivi alikuwa haielewi naye tulikuwa tunamwita Mlambo pia. ila nyinyi wa ajabu kweli

hivi yale mavi mliyatoa wapi? mliyachota kivip vyooni? mliyabebaje na kwa umbali gani? je mlikuwa mnawapaka kwa kutumia nini? mliingiaje mle ndani ya mabweni?
 
hahahahahah pole
kuna kipindi Tulimonopolise warsaw wakawa wanagoma kucheza na walambo nakumbuka kuna ombi walambo walituma wakacheze na wake zetu warsaw wakapiga chini halaf tukawafuata warsaw palepale fullshangwe had ngoma sita walambo wakapiga Bulldance.
 
kuna jamaa kachangia nahisi tulikua tunamuita PAPA mzee wa kungunguni kunguni
 
Ninyi mnazungumzia milambo ya 2007! Mambo yalishapoa sana mbona! Milambo yetu ya 1984 ya headmaster Msemakweli ambaye mkewe ndo alikuwa Principal wa uhazili! Mambo yalikuwa mambo mwulize Richard Katunka reporter wa RFA kigoma! Tulikuwa tunaingia Warsaw tunavotaka wakuu! Jamaa wa boys walikuwa hawatuwezi! Kulikuwa na jamaa anaitwa Kalekezi wa kigoma alikuwa form three alikuwa anaamkia hukohuko kama home kwake tu!

Mwanaume! Alex, Sisi ndio tuliliondoa FUPA mwaka 1994, kwa migomo mfululizo tangu Nov 1993. Nakumbuka Lawrence Gama akiwa mkuu wa mkoa alikuja kusuluhisha, hapakutosha siku hiyo. Kulikuwa na pajero za usalama kama 6 na defender iko full.
Fujo za Warsaw ni cha mtoto. Tulivamia disco la gradu usiku pale TTC kikanuka, washkaji wakaswekwa rumande...
 
Naukumbuka sana ule MUSTINI wa shule na mambo ya EMERGENCY CLASS kufuata maji kule kwenye lile bwawa, barabara ya nzega au kusaga mahindi ya ngema.
Milambo ya 07 ni cha mtoto...
 
Mnajua kuwa Lowassa pia ni mlambo?

Mimi nilisoma kipindi cha mabuye kidogo kabla hajafuatiwa na majubwa

Mchonga, baba wa taifa mwalimu J.K. Nyerere pia ni mlambo. Alifundisha milambo kipindi hicho ikiitwa mtakatifu Maria. Alifundisha somo la elimu ya viumbe na historia. Hiyo ilikuwa mwaka 1945 mpaka 1949.

Wanaumeeeeeeeeeeeeee!
 
Mabuye alikuja 94 baada ya FUPA kutoka kwa msaada mkubwa wa Gama akiwa RC wa TBR.
 
duuuuui kweli WALAMBO nakumbuka mlikuwa mna mnaKULA MAHINDI YA KUCHOMA BARABARANI
KWA LAZMA., HARAFU MMEACHA WATOTO CHEMCHEM MJE MCHUKUE WATOTO WENU

PIA WALE MLIO
MWAGA MAVI TABORA GIRLS MJE MDEKI
 
Kumbe wadau wa Milambo mpooo!!! Kuna mdau nimemsoma kuwa alikuwa EGM 2007 ni nani huyo? Maana mimi mwenyewe nilikuwa EGM mwaka huohuo nilikuwa EGM FORM V.
Maana nakumbuka kale kabango kaliko aandikwa DH kuwa "MILAMBO IS THE TOP OF THE TOPS". Nilikuwa bweni la Sokoine, Milembe moja.
 
Kumbe wadau wa Milambo mpooo!!! Kuna
mdau nimemsoma kuwa alikuwa EGM
2007 ni nani huyo? Maana mimi
mwenyewe nilikuwa EGM mwaka huohuo
nilikuwa EGM FORM V.
Maana nakumbuka kale kabango kaliko
aandikwa DH kuwa "MILAMBO IS THE
TOP OF THE TOPS". Nilikuwa bweni la
Sokoine, Milembe moja.
 
poa walambo tupo sana kwa mama shida na kwa mama rama 2007-2010 zito pcm, nyakamuga klf,shaban pcm bwen nyerere n 7 2po pamja sana
 
Back
Top Bottom