Mtile
Senior Member
- May 25, 2013
- 126
- 87
Wazee wa kachelema
Hahahahaha...
na vidumu/vidoo kufuata maji ya kunywa, wewe acha tu...
Wazee wa kachelema
Hahahahaha...
na vidumu/vidoo kufuata maji ya kunywa, wewe acha tu...
haaa tulikuwa tunaita milambo wanaume halafu taboraboys tulikuwa tunanyukwaje
Milambo siku hiyo walituvamia pale tabora school tulikuwa na dance na Warsaw tulipigwa sitasahau.wakorofi sana
kisa waschana wa t.girls. Milambo shule ya wahuni si wajua tena boyzia wazee wa kukaza vijana wanasoma kama wametumwa na kijiji.
majubwa yuko wapi jamani?