Mila zingine sio za kuendekezwa

Hakika kuna mengi sijayaona duniani. Je Pape a JF mbona sijaona kuhusu ukeketaji? Inatakiwa wanaume kwa pamoja tupige vita mila hii inaondoa raha ya tendo zima la mahusiano. Kama kuna mwenye nazo picha hizo atuwekee.
 
.........Hii mbona balaa, hivi hawa wanaishi maisha gani?Midomo haiumi kweli kurefusha hivi?
Hivi wanakula hawa kweli...........ahahahah jamani najiuliza maswali mengi tu sipati jibu lol
 
Hizi mila zilikuwa practical wakati wa biashara ya utumwa, washika watumwa wakimuona mtu namna hiyo wala hawawezi kutaka kumchukua. Ndiyo maana chale za Wamakonde zilishamiri sana.

Katika dunia ya leo mila hizi hazina kazi na zinaumiza watu tu. Hakuna hata kisingizio cha practicality ya utumwa. Mila nzuri ni zile zilizo practical na zinazoenda na wakati.
 
Hakika kuna mengi sijayaona duniani. Je Pape a JF mbona sijaona kuhusu ukeketaji? Inatakiwa wanaume kwa pamoja tupige vita mila hii inaondoa raha ya tendo zima la mahusiano. Kama kuna mwenye nazo picha hizo atuwekee.
Poa, nikienda umasaini, ugogoni, ukuriani nitajaribu kuwanasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom