Mila zetu zimepotezwa na wazungu jamani!

Simcaesor

Senior Member
Jul 15, 2011
111
9
ninasikitishwa sana na kitendo cha kupotezwa mila zetu na wazungu enzi zile taratibu za mila ziliwaadhibu waliokwenda kinyume na kanuni na taratibu zilizowekwa lakini leo hii watu wanafanya vitu visivyo na hakuna hatua zozote zinachukuliwa. tufanyaje kurudi katika taratibu zetu za zamani!
 
mila zilijaa mambo mengi ya aibu. unapopunguza mambo fulani unapunguza uzito wa mila hizo na badae kutoweka.

mfano kuna baadhi ya mila mwanaume akitaka kuoa ilikuwa ni lazima awakodi jamaa zake halafu wanamvizia msichana anapokuwa ametumwa kama vile kuchota maji ndipo wanapomkamata na kupelekwa kwenye chumba cha jamaa wanaposubiri hatua zingine zikiendelea kama vile kwenda kutoa taarifa vkwa wazazi wake kuwa bintieno yupo huku. sasa mila kama hizon kwanini zisipotezwe. je ukeketaji unapigwa vita na wazungu tu?.
 
Back
Top Bottom