Mila za wahaya

Nkizoka abandize ethiredi egi abaile nayenda kuhulila abahaya tulagambaki, mbwenu tumshale tutaandika lushwahili anga lungereza, tuandike akomuka tushulane, tumanyisangane amakuru, tutegeke.Nimbeiya waitu?

Mmhhh haya maneno ni kihaya kweli au unatufunga kamba - tumshale, tutaandika, anga, tuandike na pale mwanzo umechomekea ethiredi!
 
Kwa kweli toikubeya mukulu.atulugeo-ne emila zaitu.Mara zirungimuno!! Isi epicha zilinkaa nao!! Mbwenu taliwo kuandika kiswahili,kiaya kyonka basi,tulabona!!
 
Wahaya zamani zile hawakuwa na glass wala bakuli hivyo kama picha inavyoonyesha huyu mtu anakunywa pombe yake kupitia jani la mgomba lililokunjwa kiaina-aina. Wao wanaita Kitegela.

Naona na wahaya wa zama hizi wanaendeleza mila.........
Hata kwa kula linatumika kama bakuli ya mboga:D

i851_Kitegela.jpg

Ehee, hii kali.

Tiba
 
Kwa kweli toikubeya mukulu.atulugeo-ne emila zaitu.Mara zirungimuno!! Isi epicha zilinkaa nao!! Mbwenu taliwo kuandika kiswahili,kiaya kyonka basi,tulabona!!
Zirungi kushaga byona, chonka inywe abana ba bilebi nimugiita muna
 
Kwa kweli toikubeya mukulu.atulugeo-ne emila zaitu.Mara zirungimuno!! Isi epicha zilinkaa nao!! Mbwenu taliwo kuandika kiswahili,kiaya kyonka basi,tulabona!!
waitu kasinge.
 
Fungueni mtaona, kama nawatania.

Kyoma,

Waitu mushana,

Egi Video ti Picha (still), kwahiyo wengi hawaja-click hiyo ".wav" file

Ungepost kwa kuandika Bonyeza hapa kuangalia wahaya wakiaandaa "orubisi"

Omukama alinde
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom