Mila na Desturi zinasemaje katika hili?

Mila na Desturi zinasemaje katika hili?

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
Habari MMU

Naomba kueleweshwa swala hili kwa wale wazazi na walio na ufahamu wa mila na desturi.

Kuna hii swala la 40 (yaani utoaji mtoto nje baada ya kutimiza siku arobaini,) Hivi ni muhimu kumnyoa nywele kwa muda huo? Na je ukimuacha bila kunyoa nywele kuna tatizo lolote?


Zamani hakukuwa na swala la kufanya hadi sherehe lakini sahizi watu wanaandaaa kabisa sherehe kuubwa kwa swala hilo,Mila na desturi inaruhusu hilo?

Nahitaji kueleweshwa kwa wanaofahamu taratibu za utoaji mtoto nje kwa mara ya kwanza.


 
Unakotoka pia kuna mila na desturi. Kwani zinasemaje?
 
Back
Top Bottom