YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.
R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.

Umetumwa na Nape uvae gwanda wakati damu yako ni gamba, kama propaganda zimeshavunda zikifika huku tafuteni mpya mimi nitaendelea kwenda watoto wangu wataenda,wajukuu zangu wataendelea kwenda watoto wa watoto wa wjukuu zao watakwenda na wajukuu wa wjukuu wa watoto wa wajukuu wa baba wa babu wa vitukuu vyao wataendelea kwenda bila kuogop risasi ya kichwa wala maji ya kuwasha mpaka mkoloni mweusi CCmabwepandegambafisadi watakapo pinduka madarakani!!!YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.
R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.
Msiache kwenda jamani, tena fanyeni fujo,mkipigwa risasi CDM italea familia zenu,2016mtawekwa kwenye vitabu vya historia ya Tanzania kuwa mlipigania uhuru .
Popo bawaaaaaa, samahani nimekosea kidogo pipo pawaaaaa
Slaa,mbowe wanajiwekea sehemu ya kusepa, unakumbuka arusha? Slaa alishasema nyuma ya spika ni sehemu ya kama mambo yakichachaHaya mawazo mgando...kama akina Slaa, Mbowe, Mnyika nk wakiamua kuwa na roho nyepesi kama hii, nadhani hii nchi ingekuwa ya kipuuzi sana. Kumbuka kila nafsi itaonja mauti, unaweza usiende kwenye mkutano na bado ukafa kwa ajali, ugonjwa nk.
YES! Nasema hivi hata kama ni haki yangu ya msingi sihitaji tena,
Serikali JEURI,KOROFI,KATILI,ISIYO NA HURUMA kwa watu wake,
Watu wanapigwa risasi kama kuku ama kitu kisicho na dhamani kabisa?
Na baada ya hapo hakuna kesi wala haki yeyote itakayotendeka kwa ajili ya uhai wa marehemu.
Yaani niache mke na mtoto wangu kirahisi hivi,
Kama ni kujua kilichozungumziwa kwenye mikutano hiyo nitafuatilia kwa TV basi.
R.I.P MAKAMANDA WOTE MLIO FIKWA NA MAUTI MKIPIGANIA HAKI.
Umetumwa na nape uvae gwanda wakati chupi na singlendi na damu yako ni gamba,kama propaganda zimeshavunda zikifika huku tafuteni mpya mimi nitaendelea kwenda watoto wangu wataenda,wajukuu zangu wataendelea kwenda watoto wa watoto wa wjukuu zao watakwenda na wajukuu wa wjukuu wa watoto wa wajukuu wa baba wa babu wa vitukuu vyao wataendelea kwenda bila kuogop risasi ya kichwa wala maji ya kuwasha mpaka mkoloni mweusi CCmabwepandegambafisadi watakapo pinduka madarakani!!!Masaburi weeeeeee