lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Ndugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio.
Swali lenyewe linauliza hivi swali la kwanza je, mikutano ya kisiasa inakwamisha vipi maendeleo ya viwanda?
Swali la pili, je,chadema wakifanya mkutano wao uwanja wa jangwani,mkutano wa kisiasa je mkutano wa chadema utakamwisha vipi maendeleo ya viwanda?