a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,341
- 3,822
- Thread starter
- #21
sio wote tunaelewa unaolingana, katika masula ya RIBA ZA MIKOPO nDio maana tuna saini tu hii MIKOPO KAUSHA DAMU BILA KUJUA riba kubwa iliyopo hasa mikopo ya muda mrefu,na tupo wengi huku kijijini..mtumishi wa uma hajui hata asilimia 50 za mkopo zinakuwaje