Mikopo ya Mabenki kwa Watumishi

Mikopo ya Mabenki kwa Watumishi

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,232
Reaction score
2,417
Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU

riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10
na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka 7,8,9 ndio unajichimbia kaburi.

japo kwenye mikata yao watakuandikia riba ni asilimia 16% ila utakapoanza kilipa na deni unalodaiwa litakaloandikwa kwenye salary slipi yako ni tofauti.

KAMA INAWEZEKANA mtumishi wa umma usichukue hii mikopo ya mabenki,bora ukope kwenye vikoba/saccos.
 
Wakati wenzio wanasoma kuhusu compound interest wewe ulijifanya mjuaji...kama riba ni 17% ina maana ni mwaka mmoja ,ila the more years of repaying the higher interest you face.
Maafisa mikopo hawafafanui kuwaelewesha vizuri customers wao pale anapochukua mkopo

anakuja kukutana na suprise ya deni analotakiwa kililipa lilioandikwa kwenye salary slip

mtu alichukua mkopo milioni 25 anakuja kukutana na deni la milion 50 yani ANALIPA MARA MBILI YA ALICHOKOPA

sasa kwanini wasingesema tu kuwa RIBA nibasilimia 50% mtu ajue atalipa mara mbili ya alichokopa
SIYO WOTE wana hiyo elimu ya compound interest.
 
25 unalipa 100 benki gani?
Ps. Ni kweli riba ni kubwa
ukikopa milioni 25 unalipa 50
ukikopa milioni 50 utalipa 100
ukikopa milioni 10 utalipa 20

kwa kifupi RIBA ni asilimia 50% ya ulichokopa hasa ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka mingi

japo kwenye mikata yao wanakuandikia riba ni asilimia 16 au 17 au 20 mpaka 22

ila utakacholipa ni riba ya 50%
nusu kwa nusu

kama kuna waliochukua mikopo ya muda mrefu kuanzia miaka 5,6,7 na sasa wameongeza muda wa miaka ta marejesho nabkadiri miaka ya kulipa inavyoongezeka,ukichukua mkopo wa muda mrefu ndio utalipa deni kubwa zaidi riba inaongezeka

NI MIKOPO KAUSHA DAMU
 
Serikali ingetaka kuwasaidia watumishi wake INGEWAONDOLEA hili jini KAUSHA DAMU ,RIBA kubwa isiyostahimilika ni mzigo wa msumari..kuna watumishi wengine salary slipi zao zinalia machozi...

mtu anafanya kazi mwisho wq mwezi..pesa yote inaishia kwenye makato ya mkopo KAUSHA DAMU...hili ni jini linalofyonza damu.
 
Mkuu ukikopa 25 ukalipa 50 riba siyo 50 % bali ni 100%
Nakubaliana na wewe riba zinatisha hasa mikopo ya muda mrefu. Ukikopa miaka miwili mpaka mitatu makali yanapungua.
 
Serikali ingetaka kuwasaidia watumishi wake INGEWAONDOLEA hili jini KAUSHA DAMU ,RIBA kubwa isiyostahimilika ni mzigo wa msumari..kuna watumishi wengine salary slipi zao zinalia machozi...

mtu anafanya kazi mwisho wq mwezi..pesa yote inaishia kwenye makato ya mkopo KAUSHA DAMU...hili ni jini linalofyonza damu.
Ni Bora tujiakaange kwa mafuta yetu wenyewe
 
Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU

riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10
na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka 7,8,9 ndio unajichimbia kaburi.

japo kwenye mikata yao watakuandikia riba ni asilimia 16% ila utakapoanza kilipa na deni unalodaiwa litakaloandikwa kwenye salary slipi yako ni tofauti.

KAMA INAWEZEKANA mtumishi wa umma usichukue hii mikopo ya mabenki,bora ukope kwenye vikoba/saccos.
maelezo yako hayajakaa sawa. ukikopa 25M utadaiwa 100M? 50% ya 25M siyo 12.5M? sasa ukichukua 25M ukijumlisha 12.5M jibu ni 100M????????
 
Wakati wenzio wanasoma kuhusu compound interest wewe ulijifanya mjuaji...kama riba ni 17% ina maana ni mwaka mmoja ,ila the more years of repaying the higher interest you face.

Hebu tusaidie kabla sijaenda kukopa 10M ya kurudisha ndani ya miaka 7😎
 
ukikopa milioni 10 baada ya hiyo miaka 7 utatakiwa ulipe milioni 20 yani unalipa mara mbili yake.

kama huamini nenda kakope na japo watakwambia riba ni asilimia 17%
halafu ukiwekewa mkopo ,angalia salary slipi yako utaona deni lako unalodaiwa ni mara mbili ya mkopo waliokupatia litasoma milioni 20.

tena hata hiyo 10 hawatakupa yote watakukata gharama ya mkopo kama laki 6 hivi

kwa hiyo
NET utapata milioni 9.4 utatakiwa kilipa milioni 20 ndani ya hiyo miaka yako 7.

Mimi kama senior citizeni
SIKUSHAURI KABISA uchukue hii mikopo ya mabenki

Tafuta SACCOS ama KIKOBA au hata kanisani kwenu kama wana mikopo ya riba nafuu
you will thank me later.
 
Hebu tusaidie kabla sijaenda kukopa 10M ya kurudisha ndani ya miaka 7😎
Miaka saba kwa rate ya 17% means interest yake ni 119% ..Utarudisha 21,900,000/= bado kuna chaji nyingine na hiyo mil 10 utapata Pungufu ; watakula processing fees na insurance ya mkopo kitu kama hicho. All in all jiandae kurudisha milion 22 ila kwa rate ya interest 17% kwa mwaka kama zaidi ya hapo utazidi kulipa mpaka ukome.

Hayo ni mahesabu ya juu juu ,na mkopo
 
Mbona sio jambo jipya. Watu wanakopa, wanalipa na wanaendelea kukopa. Labda kama wewe ni mgeni kwenye utumishi wa umma umekimbilia kukopa bila kujua.

Sisi tunakushangaa wewe unayeona hilo ni jambo jipya. Watu wana top-up, wana-sell mikopo na maisha yanaenda. Kwahiyo huna haja ya kutumia nguvu kulalamika, watumishi wanajua sana mikopo hiyo ilivyo.
 
ukikopa milioni 25 unalipa 50
ukikopa milioni 50 utalipa 100
ukikopa milioni 10 utalipa 20

kwa kifupi RIBA ni asilimia 50% ya ulichokopa hasa ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka mingi

japo kwenye mikata yao wanakuandikia riba ni asilimia 16 au 17 au 20 mpaka 22

ila utakacholipa ni riba ya 50%
nusu kwa nusu

kama kuna waliochukua mikopo ya muda mrefu kuanzia miaka 5,6,7 na sasa wameongeza muda wa miaka ta marejesho nabkadiri miaka ya kulipa inavyoongezeka,ukichukua mkopo wa muda mrefu ndio utalipa deni kubwa zaidi riba inaongezeka

NI MIKOPO KAUSHA DAMU
Hiyo ni 100% siyo 50% mkuu.
 
Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU

riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10
na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka 7,8,9 ndio unajichimbia kaburi.

japo kwenye mikata yao watakuandikia riba ni asilimia 16% ila utakapoanza kilipa na deni unalodaiwa litakaloandikwa kwenye salary slipi yako ni tofauti.

KAMA INAWEZEKANA mtumishi wa umma usichukue hii mikopo ya mabenki,bora ukope kwenye vikoba/saccos.
Sio kweli, mimi ni mmoja wa wanufaika wa mkopo wa CRDB, kipindi nakopa interest ilikuwa 13%
 
ukikopa milioni 25 unalipa 50
ukikopa milioni 50 utalipa 100
ukikopa milioni 10 utalipa 20

kwa kifupi RIBA ni asilimia 50% ya ulichokopa hasa ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka mingi

japo kwenye mikata yao wanakuandikia riba ni asilimia 16 au 17 au 20 mpaka 22

ila utakacholipa ni riba ya 50%
nusu kwa nusu

kama kuna waliochukua mikopo ya muda mrefu kuanzia miaka 5,6,7 na sasa wameongeza muda wa miaka ta marejesho nabkadiri miaka ya kulipa inavyoongezeka,ukichukua mkopo wa muda mrefu ndio utalipa deni kubwa zaidi riba inaongezeka

NI MIKOPO KAUSHA DAMU
mkuu unaijua asilimia 50 ya mkopo? ukikopa milioni 10 ukalipa mil 20 maana yake ni asilimia 100 ya mkopo, wewe ni mtumishi wa umma kweli?
 
Back
Top Bottom