Mikopo ya JWTZ inatia huruma

Mikopo ya JWTZ inatia huruma

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
343
Ndugu zangu wana jf ni tarifa muhimu kutoka JWTZ inayo husu mikopo kutoka kwenye maduka yao.
Kumekuwapo na wizi mkubwa ndani ya Jwtz inayo husu wanajeshi wasio kuwa watiifu ku gushi vitamburisho pamoja na peysrep kisha kwenda kujichotea mali za mamilioni ya fedha kwenye maduka hayo. Kinacho nisikitisha ni kwanini hawatangazi kuibiwa? ni kwanini wezi wanawajua lakini hawachukuliwi hatua za kisheria? Pia nilitaka kujua zile mali zinazo ibiwa zinalipwa vipi? kama sio kodi ya mkulima! Nawasilisha
 
Kwani hayo maduka yanamilikiwa na serikali? Kodi yako inaingiaje hapo?
 
intelijensia ya jesh ipo vizur we tulia hata kama watakaa miaka mingap kama kwel wameiba na wanajulikana watajuta
 
Ndugu zangu wana jf ni tarifa muhimu kutoka JWTZ inayo husu mikopo kutoka kwenye maduka yao.
Kumekuwapo na wizi mkubwa ndani ya Jwtz inayo husu wanajeshi wasio kuwa watiifu ku gushi vitamburisho pamoja na peysrep kisha kwenda kujichotea mali za mamilioni ya fedha kwenye maduka hayo. Kinacho nisikitisha ni kwanini hawatangazi kuibiwa? ni kwanini wezi wanawajua lakini hawachukuliwi hatua za kisheria? Pia nilitaka kujua zile mali zinazo ibiwa zinalipwa vipi? kama sio kodi ya mkulima! Nawasilisha

Peysrep?:confused2:... ndiyo nini hiyo?
 
Hayo maduka ni wizi mtupu wanapata msamaha wa kodi ila vitu bei bado ni ile ile...hata wakiibiwa hawana hasara wanapata faida kubwa mno hao wahindi
 
we nyerere mbona hutumii akili unashindwa kujua kodi inaingiaje hapo je wajua kama jeshi ni mali ya umma? wataalam
wanaita public goods, na hii nikutokana kazi yao ambayo hulipwa na serikali na serikali haina mashamba ya kuuuza miwa au karangara wawalipe wanajeshi zaidi ya kuchukuwa budjet ya serikali amabayo inatokana na kaodi wananchi, tafakari b4 hujaanza kutoa povu lako hapa.
 
Kwani hayo maduka yanamilikiwa na serikali? Kodi yako inaingiaje hapo?
oh, no!!!! Look at this poor citizen who manages to sing in jf but doesn't know where his/her sweat goes!
 
Hayo maduka yanaendeshwa na kampuni za watu binafsi, therefore usiwe na shaka kuhusu kodi yako !
 
Back
Top Bottom