Mikopo vyuo vya kati: Je, tayari inatolewa na Serikali kama walivyotangaza wakati wa usomaji wa bajeti 2023/2024?

Baraka Essau

Member
Jun 19, 2023
7
6
Habari ninaomba kujua pia.

Je, mikopo iliyotangazwa na serikali katika vyuo vya kati imeshaanza kutolewa?

Maana kuna wengine tulishindwa kuanza masomo kwasababu ya kukosa ada kwa hiyo nategemea sana mikopo na nina hitaji sana kuendelea na masomo.
 
Habari ninaomba kujua pia
Je mikopo iliyotangazwa na serikali katika vyuo vya kati imeshaanza kutolewa?

Maana kuna wengine tulishindwa kuanza masomo kwasababu ya kukosa ada kwa hiyo nategemea sana mikopo na nina hitaji sana kuendelea na masomo.
Soma hapo
Screenshot_2023-06-23-12-48-03-098_com.whatsapp.w4b.jpg
 
Hii bodi ilianzishwa kwaajili ya watoto wa masikini,waliokuwa na ufaulu mzuri,lakin uwezo wa familia ulikuwa mdogo kuwawezesha kupata elimu ya juu,kwa maana ya degree na kuongeza wigo wa wasomi wa degree nchini.
Sasa kutaka kuwapa mikopo watu waliofel na wanaotaka shortcut ya elimu mimi naona siyo sawa.
Hakuna kitu hapo hizo ni Porojo
 
Hii bodi ilianzishwa kwaajili ya watoto wa masikini,waliokuwa na ufaulu mzuri,lakin uwezo wa familia ulikuwa mdogo kuwawezesha kupata elimu ya juu,kwa maana ya degree na kuongeza wigo wa wasomi wa degree nchini.
Sasa kutaka kuwapa mikopo watu waliofel na wanaotaka shortcut ya elimu mimi naona siyo sawa.
Ni sawa hatuna hiana sisi lengo wote wafike, Shida ni Samia hana Pesa hiyo bora tuendelee kununua Magoli ya kina Mayele.
Siasa imeingia boardini.
 
Ni sawa hatuna hiana sisi lengo wote wafike, Shida ni Samia hana Pesa hiyo bora tuendelee kununua Magoli ya kina Mayele.
Siasa imeingia boardini.
🤣🤣Magoli yanampa uhakika wa kura,sasa wanachuo watampa nn? ukizingatia wakielimika wanaikataa ccm?
Nakumbuka enzi tuko chuo,kipindi Cha kunji aka migomo vyuoni kugombea maslah ya wanachuo,ilikuwa wakiletwa hao polisi kuja kutuliza ghasia,tunawaambia"nyie mlikimbia umande hamuwezi tuelewa sisi wasomi" 🤣🤣
Vijana saivi hawana ari ya kusimama kidete na kupigania maslah yao.
 
Magoli yanampa uhakika wa kura,sasa wanachuo watampa nn? ukizingatia wakielimika wanaikataa ccm?
Nakumbuka enzi tuko chuo,kipindi Cha kunji aka migomo vyuoni kugombea maslah ya wanachuo,ilikuwa wakiletwa hao polisi kuja kutuliza ghasia,tunawaambia"nyie mlikimbia umande hamuwezi tuelewa sisi wasomi"
Vijana saivi hawana ari ya kusimama kidete na kupigania maslah yao.
Unasimamisha kucha Mbele ya Afande alielamba asali unajitaka, Afu saivi wanavyuo wenyewe mishemishe kibao hawana time na Siasa.
 
Unasimamisha kucha Mbele ya Afande alielamba asali unajitaka, Afu saivi wanavyuo wenyewe mishemishe kibao hawana time na Siasa.
No tulikuwa wakifika wote tunachuchumaa,tunaendelea kuimba na kuwadis,so hawawezi kupiga mtama unechuchumaa🤣Basi madogo waendelee na hizo mishe zao 🤣 hawajui siasa ndo inaamua hata hiyo mikopo wanayoililia?
 
Samahan wakuu naomba niulize kuhusu hii taarifa ni kwl au ya kuzusha

The Tanzania Commission Universities (TCU) And Higher Education Students Loan Board (HESLB)

TCU And HESLB, Now allow a Certificate And Diploma Students, to get a loan as universities students

QUALIFICATION NEEDED
Applying Students must be
1.Cerificate, Diploma, Advanced Diploma
2.College Must Be Registered By NACTE
3.Fill and follow all steps

LOAN STRUCTURE (Will cover:)
1.Fee
2. Hostel Accommodation
3.Stationary
4.Pocket Money

Apply now before deadline (31ST August 2023)
Appl NOW HERE
 
Kwani wameshafungua kwa hawa wa vyuo vya kati? Kwasababu kwa vyuo vya elimu ya juu wanafungua tarehe 15 mwezi huu.
 
Back
Top Bottom