Mikopo tarajiwa ya China kwa Tanzania inayofikia Trilioni 46 kwa ajili ya Bagamoyo Port na SGR, hatarini kushikilia vitega uchumi vya Tanzania

Chanzo ya katiba mbovu wa kulaumiwa ni Nyerere ndo alieleta shida hii,alitukuza utawala badala ya uchumi. Katiba chakavu ya MWALIMU si katiba ya kizazi cha sasa
Acha uzwazwa..Nyerere died 20 yrs ago!!
Mmeshindwa kubadilisha mambo yenu kipindi chote hiki!!??
 
A cha uzwazwa ndugu yangu. Hiyo Katiba unayoongelea haina tu gear na Wabunge waliozaliwa mbinguni bali wametoka kwa Watanzania. So, kama Wabunge wengi waliozaliwa na Watanzania wataona ni sawa, hao wachache waliotaka kuibadilisha ni akina nani hao hadi tufuate misimamo yao na si ya wengi? Ndiyo demokrasia mnayotaka kutufundisha kwamba tuwe tunasikiliza maoni ya wengi na kufuata ya wachache?

Kama Wabunge ndiyo wanajiamulia na hawafuati maslahi ya Watanzania wengi, mbona wamekuwa wakirudishwa bungeni kila Uchaguzi unapofanyika na siyo Wapinzani?

Hivi, mbona hao hao Wabunge wa CCM wakiwa CCM huwa wanakuwa wabaya lakini wakienda Upinzani wanakuwa watakatifu?
Wabunge wa ccm 75% siyo halali wanapewa ubunge na NEC
 
Huyo Nyerere ndiye aliyesumbuka kuleta uhuru lakini ndiye aliyeliunganisha Taifa kwa kiwango kikubwa. Amani ya Tanzania inatokana na vita ya Nyerere kwa ukabila. Isingekuwa Nation-building effort za Nyerere, Tanzania isingekuwa na tofauti na majirani zake ambao hupigana mara kwa mara kutokana na Viongozi wao wa awali kukazania uchumi kwa gharama ya amani, umoja na mshikamano.

Mwenge wa Uhuru unaweza kuwa unadharauliwa kwa sasa lakini believe me, ni moja ya alama muhimu kwa Tanzania kwa namna ulivyoiunganisha Nchi hii hasa miaka ya nyuma.
Primitive thinking kwa hiyo mwenge ndo umeunganisha nchi zenye uchumi mkubwa kama USA na china
 
Jamani mimi nipo Ushirombo huku, ila tunamsikiaga Rais wetu anasema anajenga SGR kwa pesa za ndani ambazo kayanyanganja mafisadi,sasa mbona hii habari ya kuwa tunakopa China kwa ajili ya SGR mimi naona ni uongo.naomba kueleweshwa
 
Tutawapa wachina ikulu ya Dodoma na Chato airport wakamate havina tija kwa taifa hivi
 
Back
Top Bottom