fierceman
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 553
- 757
habar wana jf
naweza sema wazazi/ndugu wamekuwa wavivu kufanya bidii ya kutosha kutafuta pesa ili vijana wakasome elimu ya juu kwa kutegemea mikopo toka serikalini
binafsi nachukia sana mikopo naona ni kama sehemu ya kukandamiza vijana maishani...yani unakuta kijana hata kijiko au godoro hajaanza miliki ila anaanza na deni si chini ya milioni 10 toka serikalini
tujiulize hivi serikali ingekuwa haito mikopo je vijana wasingeweza kweli kusoma elimu ya juu kwa sababu za kifedha?
katika nchi zilizoendelea mtoto kuanzia awali hadi chuo kikuu anasoma kwa pesa ya wazazi/ndugu na si serikali kwa kuwa haitoi mikopo
tunapozaa watoto tunakuwa hatujui kuwa itawabidi wasome,wale,wavae na kulala pazuri sasa je hili ni jukumu la serikali au wazazi/ndugu?
kiupande wangu naona kabisa wazazi/ndugu wanawaombea vijana wao mikopo serikalini si kwamba hawana pesa bali ni mazoea tu waliyojiwekea kwa kuwa wanajua mikopo hiyo italipwa na vijana wao wenyewe wapatapo ajira na si wao sababu mkopo ni mkataba kati ya serikali na mwanafunzi na si wazazi/ndugu...sasa hapa inakuwa kama wazazi/ndugu wanabebesha mzigo vijana wao
kwa wale vijana mlioshindwa kwenda vyuoni sababu mmekosa mikopo msikate tamaa muwapo mtaani mtafute pesa mkasome muache ubishoo na usistadu fanyeni kazi halali msitegemee sana wazazi/ndugu na kama unaona wewe huwezi jisomesha hivi jiulize katika umri wako huo wa miaka18+ ghafla wazazi/ndugu hawapo duniani na serikali haitoi mikopo nani angekusomesha?
na kuwa mtaani si kwamba ndio mwisho wako sababu hata leo hii ungekwenda chuo bado mtaani utarudi tu...tafuta pesa ukasome huku ukiwa umeacha biashara zako mtaani