Mikopo kwa riba nafuu

Mikopo kwa riba nafuu

Mkopo wa kwanza unaweza kuanza na milioni ngapi?, unatakiwa kuwa na amana, hisa kiasi gani?, na kuwa mwanachama kwa muda gani? marejesho baada ya muda gani.
Katika maisha watu wenye kukatisha wenzao moyo sishangai na hata kama Kuna kitu kizuri wafrica walivyo na roho mbaya hawawezi kukwambia zaidi Ni kuponda,kwa kifupi fika ofisini kwetu sinza evangelical church sacoss ltd karibu na mwika social hall halafu huakiki then utaambiwa mtafute afisa mikopo akusaidie, taratibu zote za mikopo kwa sababu meneja au muhasibu hawezi kutoka ofisini kwenda kukagua unafanya biashara gani,unaishi wapi je Una sifa za kukopa , kwa hiyo Mimi kama afisa mikopo Nina recommend wakupe mikopo au wasikupe hiyo ndio kazi ya afisa mikopo wenye akili nimewaelewesha wameelewa wamenipigia tumeelewana
 
Mnakopesha Hadi Kanisa? Kweli Nyie Ni Mabilionea.Halafu Ofisi Iwe Sinza Chumba Kimoja!! Halafu Saccos Haina Hata Website, Email Jina Lake Kamili Na Bado Inauwezo Wa Kukopesha Watu Magari,kanisa Wakija Watu 20 Wa Magari,makanisa Kumi,hapo Unazungumzia Mkopo Wa Bei Gani?Halafu Bado Kampuni Haina Hata Website,sm Ya Mezani!! Jina Umeombwa Kutaja Umejizungusha Sana!! Wajinga Ndo Waliwao!! Mi Ninapita Nitarudi Baadae Nione Shuhuda Za Wengine,
 
nashukuru Sana kwa kauli zenu asanteni Sana mbarikiwe, ila wenye akili wamenielewa, natoa maelezo ya awali kwenye simu na masuala malipo na kujiunga Ni ofisini na hata ukienda ofisini bila loan officer huwezi kupata msaada wowote, ILA kumbuka mtu mjinga uamini kila ambiwalo Bali mwenye akili hufikiri sana.

Tumeitumia hii kauli yako na tukafikiri kwann hata jina la saccos ni vigumu kuwekwa?

Alaf tukafikiri pia rekodi ya thread zako tukachoka kabisa.
 
nashukuru Sana kwa kauli zenu asanteni Sana mbarikiwe, ila wenye akili wamenielewa, natoa maelezo ya awali kwenye simu na masuala malipo na kujiunga Ni ofisini na hata ukienda ofisini bila loan officer huwezi kupata msaada wowote, ILA kumbuka mtu mjinga uamini kila ambiwalo Bali mwenye akili hufikiri sana.

mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii aibuuuuuuuuuuuuuuuuuiii kuna ugumu gani wa kutaja jina na anuani ya hiyo saccos/ mbona hapo juu umeandika zaidi ya maneno 50 wakati jina la saccos hata lisingezidi maneno 10? nasikia harufu ya wizi jamani tapeli huyu
 
Jina: sinza evangelical church saccos ltd,
Makaburini/mwika social hall
mobile: 0714 064767
 
Nashukuru kwa huu uzi kuanzishwa juu ya hii Taasisi:

Nilijiunga nao mwei wa 10,2014. Na nikatakiwa kuweka akiba na nikafanya hivyo.
Baada ya kuijua vizuri hii taasisi nikaomba kujitoa, na utaratibu wa kujitoa ni kutoa taarifa ndani ya siku 90.Hii itafanywa ulipwe kiasi cha fedha ulizoweka kama akiba.
Nilitoa taarifa mwezi wa tatu,2015. Mpaka sasa ninavyo andika ile akiba sijarudishiwa ikiwa ni zaidi ya miezi nane!!!(swali ni wangapi wamefanyiwa hivyo?)

Sababu za kujitoa:

Sio rahisi kupata hiyo mikopo kama inavyotangazwa.

Hatua nilizochukua:

Mbali ya kufika ofisini kwao mara kwa mara, kinacho fanyika ni kupewa ahadi tu.Walitoa tangazo kwamba "tulioomba kujiondoa malipo yetu yatafanyika mwezi wa tisa baada ya madeni kukusanywa na Linyama Auction Mart.
Tulisubiri mpaka huo mwezi wa tisa,laiki hakuna malipo yaliyofanyika, ukirudi tena pale ofisini wafanyakazi wanakuambia watu wa kukusaidi ni hawa"majina yamebadikwa ktk ubao wa matangazo". ukiwasiliana na wahusika, kwanza nao hawana taarifa na wanasema wao sio watu wa msaada.

Lengo:

Sina lengo la kuishafua hiyo Taasisi, lengo langu ni kutoa onyo kwa wajasiliamali na wafanyabiashara kuwa makini na hizi taasisi.Ni kweli ziko kwa kusajiriwa na sheria za nchi lakini huduma zake ni za kitapeli.Ni kweli tuna uhaba wa mitaji, lakini uhaba huu usitufanye kuangukia mikononi mwa watu kama hawa.

Je wewe AFISA MIKOPO unasemaje ktk hili? au nawe uliisha ikimbia ajira PALE?
 
Maneno kuntu. Elimu imemfikia mtazamaji
 
Back
Top Bottom