mikopo kwa ajili ya kilimo hii yawez kuwasaidia wale wenye mawazo kufanya kilimo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mikopo kwa ajili ya kilimo hii yawez kuwasaidia wale wenye mawazo kufanya kilimo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Blessed, Dec 29, 2011.

 1. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  ugumu wa upatikanji wa ajira ukizidi kuwaandama vijana wengi nchini kilimo pekee kinabaki kuwa kimbilio lakini kilimo bila mikopo ni ngumu,........................maana vijana hawategemei kulima kwa majembe ya mikono hapa chini kina link kadhaa za NGOs zinazotoa mikopo rahisi kwa vijana katika kilimo this is the link

  www.difining2morrow.blogspot.com
   
 2. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 788
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 80
  Shukrani. Ila nimeona grants ni kwa institution level ukizijua zinazotoa at the level of individual tuambie tafadhali
   
Loading...