kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 302
- 195
You can't run without a ball! Dahkote sawa tu fika tawini wakupigie hesabu, you cant run without a ball.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida hyo hahitaj mda kama huo kutatuliwa! Emegency caseBadala ya kuchukua Mkopo Bank na kulipa miezi 36 na riba juu, jiwekee akiba kwa miezi 36 kisha fanya yako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu ana mshahara ka wako alichukua 11m kwa makato ya miaka 5,kwa ushauri kama unataka kufanya biashara chukua tano makato ya miaka miwili likitokea la kutokea usiumie sana,tofauti na miaka mitano afu peah riba inakuwa ndogo kidogo tofauti na wa mitano
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikopo kupitia mshahara, sitaki kabisa kusikia.
Badala ya kuchukua Mkopo Bank na kulipa miezi 36 na riba juu, jiwekee akiba kwa miezi 36 kisha fanya yako!
Sent using Jamii Forums mobile app
NaamKwa haraka haraka inaweza kuonekana ni wazo zuri lakini sio rafiki.
Kuna kitu kinaitwa thamani ya pesa lazima ukizingatie. Pia inategemea unataka kufanya jambo gani na huo mkopo. 10M ya leo inaweza kufanya mambo mengi tofauti na 10 M hiyo hiyo miaka mitano au kumi ijayo.
Kwa mantiki hiyo, bora uchukue hiyo pesa uwekeze sasa ikiwa fursa zipo kuliko kusubiria miaka mitano ijayo.
Mmh naaam!Haya sasa, nimekutana na hii kitu mtaani ila sijui kama ni ya kwrli au la. Piga simu au watembelee tawi lao
View attachment 1448195
Ni Shida Sana Ndugu Yangu Hata Kumeza MateMikopo kupitia mshahara, sitaki kabisa kusikia.