T Trust None JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 1,260 Reaction score 4,421 Apr 8, 2020 #1 Kwa wale mlio katika utumishi wa umma. Je, inawezekana kukopa katika taasisi hizo kwa wakati mmoja kama take home inaruhusu?
Kwa wale mlio katika utumishi wa umma. Je, inawezekana kukopa katika taasisi hizo kwa wakati mmoja kama take home inaruhusu?
M Mgomo Senior Member Joined May 15, 2019 Posts 174 Reaction score 65 Apr 8, 2020 #2 haiwezekani kwani 1/3 haitakubali
T Trust None JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 1,260 Reaction score 4,421 Apr 8, 2020 Thread starter #3 Mgomo said: haiwezekani kwani 1/3 haitakubali Click to expand... Kwa mfano una mkopo NMB halafu ukapanda daraja means take home inaongezeka, vipi hapo haiwezekani kukopa CRDB pesa kiasi?? Shida ni kuwa NMB hawatoi deni ili ntu auze mkopo
Mgomo said: haiwezekani kwani 1/3 haitakubali Click to expand... Kwa mfano una mkopo NMB halafu ukapanda daraja means take home inaongezeka, vipi hapo haiwezekani kukopa CRDB pesa kiasi?? Shida ni kuwa NMB hawatoi deni ili ntu auze mkopo
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,520 Apr 8, 2020 #4 Inawezekana. But ubakiwe na 1/3 ya mshahara. Hili ndio hitaji kubwa la kisheria toka kwa mwajiri wako au simply katika utumishi wa umma Zala Na Nga
Inawezekana. But ubakiwe na 1/3 ya mshahara. Hili ndio hitaji kubwa la kisheria toka kwa mwajiri wako au simply katika utumishi wa umma Zala Na Nga
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,183 Apr 10, 2020 #5 Uko wap ww siku hizi mambo ni gud ukitaka barua ya kuuza deni NMB ni faster tu Trust None said: Kwa mfano una mkopo NMB halafu ukapanda daraja means take home inaongezeka, vipi hapo haiwezekani kukopa CRDB pesa kiasi?? Shida ni kuwa NMB hawatoi deni ili ntu auze mkopo Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wap ww siku hizi mambo ni gud ukitaka barua ya kuuza deni NMB ni faster tu Trust None said: Kwa mfano una mkopo NMB halafu ukapanda daraja means take home inaongezeka, vipi hapo haiwezekani kukopa CRDB pesa kiasi?? Shida ni kuwa NMB hawatoi deni ili ntu auze mkopo Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,634 Reaction score 12,341 Apr 13, 2020 #6 kuduman201036 said: Uko wap ww siku hizi mambo ni gud ukitaka barua ya kuuza deni NMB ni faster tu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bora kuuza deni la nmb kwa crdb kukwepa ile processing fee ya nmb
kuduman201036 said: Uko wap ww siku hizi mambo ni gud ukitaka barua ya kuuza deni NMB ni faster tu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bora kuuza deni la nmb kwa crdb kukwepa ile processing fee ya nmb
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,532 Apr 13, 2020 #7 Inawezekana mkuu Trust None said: Kwa wale mlio katika utumishi wa umma. Je, inawezekana kukopa katika taasisi hizo kwa wakati mmoja kama take home inaruhusu? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana mkuu Trust None said: Kwa wale mlio katika utumishi wa umma. Je, inawezekana kukopa katika taasisi hizo kwa wakati mmoja kama take home inaruhusu? Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Apr 15, 2020 #8 Inawezekana kukopa hata kwenye Taasisi 100 kikubwa ubaki na 1/3 yako kwenye take home.