Nikitaka mkopo wa kulipa 6 installments (kwa kila mwaka mara tatu) inakuwaje?
Siwezi kulipa kila mwezi kwa nature ya biashara yangu.
Nianze na kianzio cha kiasi gani?
Naomba mchanganuo wa Bajaj TVS kama mnazo.Yes boss tunafahamu changamoto hizo! Fika ofisini kwetu Mwanga Tower - Floor ya 9 Makumbusho kwa maongezi zaidi
nilitaka kujua mkopo wa ist mpya from japini kiasi ni bei gani kianzio na kwa mwezi
Nipo mkoani huku Koromije.Yes boss tunafahamu changamoto hizo! Fika ofisini kwetu Mwanga Tower - Floor ya 9 Makumbusho kwa maongezi zaidi
Hiyo dump truck je toa ufafanuz mkopo wake
Naomba mchanganuo wa Bajaj TVS kama mnazo.
Na mimi bado nasubiria jibu.Hapana boss, hatufinance Vifaa vya uvuvi
SafiRiba yetu ipo katika mfumo wa Reducing Balance
Tractor brand yeyeto HP 75.
Tupe mchanganuo
Tunatoa mikopo ya Guta (3 Wheelers)View attachment 2699853
hizi nazo bei ikoje Mkuu weka mchanganuo