Mikopo bila dhamana

Mikopo bila dhamana

Derick Mj

Member
Joined
Oct 4, 2021
Posts
21
Reaction score
35
Tunatoa mikopo ya magari ya usafirishaji kama vile tractor head&trailler, dumper truck, magari ya kusafirisha abiria kama vile mabasi, vifaa vya ujenzi kama vile excavetor, dozer, wheel loader, concreat mixer, vifaa vya kilomo kama vile tractor, disc plough, planter, harrow, vifaa vya kuchakata nafaka kama vile mashine za kusaga, kukoboa nk.

IMG_4578.jpg

IMG_4586.jpg

IMG_4580.jpg

IMG_4582.jpg

IMG_4587.jpg

IMG_4585.jpg

IMG_4584.jpg


Vigezo na Masharti ni nafuu kabisa kwa mawasiliano zaidi Piga namba 0714907814

Karibu ukamilishe malengo yako.
 
Vigezo na masharti

- Malipo ya awali 25% mpaka 35% ya thamani ya mashine au gari unalotaka kuchukua

- Mkopo ni kwa ajili ya biashara japo kuna Consumer lease kwa wale wenye Mkataba

- Muda wa mkopo mwaka mmoja miwili mpka mitatu

- Muombaji awe na valid IDs, business license au LATRA, Tax Clearance Certificate, Tin Certificate

- RIBA kwa mwezi ni 2.63%

Kwa Taarifa zaidi piga 0714907814
 
Habari wapambanaji wenzangu! Samahanini, nimeweka Maelekezo kidogo na kuacha namba, kwa mtu yoyote atakae kuwa interested naomba anicheki kwa namba niliyoiweka (0714907814) maana siyo vitu vyote ninaweza kuviandika hapo ndugu zangu!
 
Nataka Coaster naomba bei na details nyingine hapa au PM.
Nataka kujua nalipa kiasi gani na installment ipoje?

Ufafanuzi kidogo. Mfano Coaster yenye thamani ya 45 Million

Utatoa 11,250,000 kama down payment
Marejesho kila mwezi ni 1,990,000
Jumla utakuwa umelipia 57,680,000
Kwa muda wa miezi 24 au Miaka miwili
IMG_4603.jpg
 
Ufafanuzi kidogo. Mfano Coaster yenye thamani ya 45 Million

Utatoa 11,250,000 kama down payment
Marejesho kila mwezi ni 1,990,000
Jumla utakuwa umelipia 57,680,000
Kwa muda wa miezi 24 au Miaka miwiliView attachment 2698924
Nikitaka mkopo wa kulipa 6 installments (kwa kila mwaka mara tatu) inakuwaje?
Siwezi kulipa kila mwezi kwa nature ya biashara yangu.
Nianze na kianzio cha kiasi gani?
 
Back
Top Bottom