kama alikuwa hamsuspect chochote mkewe...alikuwa anatafuta nini kny begi lake...akome!!!:redfaces:
Ayaaaaa weeeee tayari keshamegewa huyo. KY na rubber za nini?
Dawa hapo ni yeye naye kuanza kumega nje kama bado hajafanya hivyo.
This is one of the reasons why I subscribe to the principle of 'when in a relationship, cheat first'.....so even if you come to find out later that your significant other has been creepin' on you, hey it won't bother you much coz you got her first.....
But in there is no trust in this world. Trust is just a myth....

Wanawake wako smart sana! I do not believe in trust, I am tempted to cheat whenever the situation favored.
Mkuu, Unajua ukiamua kufanya defence ya hii theory yako unaweza kuingia kwenye kundi la wavumbuzi wachache kutoka Tanzania
Dawa ya infidelity ni infidelity.
Heeeee!!!!!! Ndivyo mlivyo??kama alikuwa hamsuspect chochote mkewe...alikuwa anatafuta nini kny begi lake...akome!!!:redfaces:
halafu hao wanaume wakiona jambo wanauchuna huwa wananishangaza sana,shurti kama ni nkeo unatakiwa kuhoji...mwanaume kuwa na authority bwana!!!...wa hivyo ndio maana wake zao wanacheat...utakuwaje na mume kama kondoo...chaa!
anyway kwa kuwa sio mzungumzaji,ni mtu wa maishara na yeye atafute mpango wa kuchakachua nje...kimya kimya,siku akitaka kumjulisha mkewe...na yeye aje na G_string ya kike,na kanga na condom afu aziweke kihasara ili mkewe aone...:teeth::teeth::redfaces:
Huko kwenye pochi alikuwa anatafuta nini kama sio BP za kumuwahisha kwa israeli tu. Aache kabisa hiyo tabia atakufa mapema. Kuna siri nyingi sana
Kuna kitabu naandika kuhusiana na "Golden rule"......
Vuteni subira.....
Raha ya mapenzi ni usiri uliopo kati yenu ati....mapenzi bila siri hayana raha!!Huko kwenye pochi alikuwa anatafuta nini kama sio BP za kumuwahisha kwa israeli tu. Aache kabisa hiyo tabia atakufa mapema. Kuna siri nyingi sana