Mikoba ya Kina dada ina Mambo!

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Mzee mzima yuko sebuleni anafatilia hotuba ya Kikwete kwenye ufunguzi wa bunge akiona live wabunge wa CHADEMA wakitoka ukumbini. Mkewe alikuwa jikoni akisaidia na msichana wa kazi kuandaa maakuli ya familia. Mkoba wa mkewe ulikuwa sebuleni basi akaamua kuangalia ndani, alichokuta kilikuwa ni mambo ya kushangaza, K.Y jelly tube, condoms na vipodozi kadhaa wa kadhaa na pesa nyingi tu. Alishindwa kujizuia akashindwa muuliza mkewe. Hajawahi tumia condom wala K.Y Jelly na mkewe. Anadai wanamapenzi ya dhati hajawahi msuspect mkewe. Hili nimeshtua anaomba ushauri jamani. Uaminifu na mapenzi yamepungua hata mkewe kamshitukia.

Ushauri jamani!
 
Ayaaaaa weeeee tayari keshamegewa huyo. KY na rubber za nini?

Dawa hapo ni yeye naye kuanza kumega nje kama bado hajafanya hivyo.

This is one of the reasons why I subscribe to the principle of 'when in a relationship, cheat first'.....so even if you come to find out later that your significant other has been creepin' on you, hey it won't bother you much coz you got her first.....

But in there is no trust in this world. Trust is just a myth....
 
kama alikuwa hamsuspect chochote mkewe...alikuwa anatafuta nini kny begi lake...akome!!!:redfaces:
 
Mimi naona ni bora kachungulia humo kwa sababu sasa angalau atakuwa na idea huyo mkewe ni mtu wa aina gani. Jamaa hajakosea hata kidogo.
 
Alikuwa anatafuta nini ktk huo mkoba wa mkewe??kama hutaki magonjwa ya moyo achana na kupekuwa mabegi au simu za mpenzi wako!!
 
Ayaaaaa weeeee tayari keshamegewa huyo. KY na rubber za nini?

Dawa hapo ni yeye naye kuanza kumega nje kama bado hajafanya hivyo.

This is one of the reasons why I subscribe to the principle of 'when in a relationship, cheat first'.....so even if you come to find out later that your significant other has been creepin' on you, hey it won't bother you much coz you got her first.....

But in there is no trust in this world. Trust is just a myth....

Wanawake wako smart sana! I do not believe in trust, I am tempted to cheat whenever the situation favors.
 
halafu hao wanaume wakiona jambo wanauchuna huwa wananishangaza sana,shurti kama ni nkeo unatakiwa kuhoji...mwanaume kuwa na authority bwana!!!...wa hivyo ndio maana wake zao wanacheat...utakuwaje na mume kama kondoo...chaa!
anyway kwa kuwa sio mzungumzaji,ni mtu wa maishara na yeye atafute mpango wa kuchakachua nje...kimya kimya,siku akitaka kumjulisha mkewe...na yeye aje na G_string ya kike,na kanga na condom afu aziweke kihasara ili mkewe aone...:teeth::teeth::redfaces:
 
Ayaaaaa weeeee tayari keshamegewa huyo. KY na rubber za nini?

Dawa hapo ni yeye naye kuanza kumega nje kama bado hajafanya hivyo.

This is one of the reasons why I subscribe to the principle of 'when in a relationship, cheat first'.....so even if you come to find out later that your significant other has been creepin' on you, hey it won't bother you much coz you got her first.....

But in there is no trust in this world. Trust is just a myth....

Mkuu, Unajua ukiamua kufanya defence ya hii theory yako unaweza kuingia kwenye kundi la wavumbuzi wachache kutoka Tanzania
 
Huko kwenye pochi alikuwa anatafuta nini kama sio BP za kumuwahisha kwa israeli tu. Aache kabisa hiyo tabia atakufa mapema. Kuna siri nyingi sana
 
halafu hao wanaume wakiona jambo wanauchuna huwa wananishangaza sana,shurti kama ni nkeo unatakiwa kuhoji...mwanaume kuwa na authority bwana!!!...wa hivyo ndio maana wake zao wanacheat...utakuwaje na mume kama kondoo...chaa!
anyway kwa kuwa sio mzungumzaji,ni mtu wa maishara na yeye atafute mpango wa kuchakachua nje...kimya kimya,siku akitaka kumjulisha mkewe...na yeye aje na G_string ya kike,na kanga na condom afu aziweke kihasara ili mkewe aone...:teeth::teeth::redfaces:

Hahahahaah either wewe ni mdogo haya mambo huyajui! Inakera zaidi kuuliza kitu kilicho obvious. Huyo mama atakataa huenda hata akalianzisha umemwekea, mkaishia kuingia kwenye domestic abuse. Nadhani njia sahihi ni huyo bro kwenda naye kucheat na aje amevaa G-string ya kidosho wake. Hakuna kuulizana
 
Huko kwenye pochi alikuwa anatafuta nini kama sio BP za kumuwahisha kwa israeli tu. Aache kabisa hiyo tabia atakufa mapema. Kuna siri nyingi sana

Mikoba ya kina dada ina siri nyingi na nzito!
 
Huko kwenye pochi alikuwa anatafuta nini kama sio BP za kumuwahisha kwa israeli tu. Aache kabisa hiyo tabia atakufa mapema. Kuna siri nyingi sana

Kama wako kwenye ndoa kwa nini kuwe na "siri nyingi sana"?

Sidhani kama watu mnaielewa vizuri taasisi ya ndoa. Ndiyo maana nyingi zinavunjika.....

Mtu umeolewa lakini bado unabeba KY kwenye begi lako. Ya nini wakati mumeo haitumii? Stupid...
 
Huko kwenye pochi alikuwa anatafuta nini kama sio BP za kumuwahisha kwa israeli tu. Aache kabisa hiyo tabia atakufa mapema. Kuna siri nyingi sana
Raha ya mapenzi ni usiri uliopo kati yenu ati....mapenzi bila siri hayana raha!!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom